Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza.
Tunasafiri kwa dakika kadhaa na kufika stendi ya Igombe, nashuka na kusogea katika maegesho ya pikipiki...
Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan
Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
Wananchi wa Kata ya Kakola, Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, wamelalamikia ongezeko la wimbi la vibaka wanaovamia ndani ya nyumba wakiwa uchi na wakiwa wamejipaka mafuta mwili mzima kwa lengo la kutekleza wasikamatwe.
Chanzo: itvtz
Waambieni wasije Kuthubutu kufanya hivi wakija Kuiba...
Tuhuma za RMO Kahama
1- Anamtetea shemeji yake, ambaye anatuhumiwa kupunguza purity kwenye soko kuu la Dhahabu Kahama, tuhuma hizo kuhusu shemeji wa Kumburu zimefikishwa hadi ofisi ya DSO KHM & Task Force, lakini amekuwa akitengeneza mazingira ya kumlinda, taarifa zinaonyesha anafaidika na wizi...
Anonymous
Thread
kahama
madini
madini kahama
rmo wa kahama
tuhuma rmo kahama
tume ya madini
Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na mtalo nihuohuo, na barabara ya kutokea mnazi mmoja kwenda Rami, serikali inaingiza kipato kupitia...
Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii?
Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu.
Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya watu na shughuli za uchimbaji.
Watu bado wanalima na kufuga ndani ya makazi, Manispaa gani hii?
Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini.
Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot.
Kwakweli kumekua na kero sana kwa manesi walipo hospitalini hapa, wamekuwa wakitoa maneno ya kashfa na kejeli hasa kwa manesi wa clinic,
Ni maneno mabaya na ya kejeli sana yakiambatana na matusi.
Naiomba serikali ilifuatilie na kulichunguza swala hili.
Mimi binafsi nimewahi tolewa maneno...
Hapa ni mzani wa kahama (mwendakulima) na haya mashimo yapo unapoingia na kutoka mzani
Kwa kweli ni mashimo makubwa sana na hatarishi kwa vyombo vinavyoingia kupima uzito.
TANROADS kwanini wamekaa kimya?
Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Mnzava ametembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama-Shinyanga na kukagua utekelezaji wa Ilani katika Kituo cha Afya Ushetu.
Vilevile, Mhe. Dkt. Christina...
Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama .
Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi napinga, na naamini Polisi wanakuwa kwenye Maandamano haya ili kutimiza majukumu yao ya Ulinzi na Usalama.
Habari ndugu,
Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi
Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara
Wana jamii kwanza habari zenu,
Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni.
Naombeni miongozo yenu, naamini hamtaniangusha.
Bertha Mabula amesema anahofia usalama wake kwa madai ya kubaini Polisi Mjini Kahama wanataka kumbambikia kesi ya ugaidi wakidai alitaka kulipua Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga wakati akifuatilia mwenendo wa shauri lake kwa ajili ya kukata rufani.
Bertha amedai alifika Mahakama Kuu kwa ajili ya...
Katika matembezi yangu ya utafutaji na majukumu ya jina langu nimeona kuleta moja ya mfano ambao kiukweli ni wazi kabisa.
Shinyanga miaka 90 kushuka chini ilikuwa ni moja sehemu centre sana ikibeba wilaya zake zote na mambo mengine, ila kwa sasa imekuwa tofauti sana yani kuna kila kitu cha...
BILIONI 101.2 KUJENGA BARABARA YA KAHAMA-KAKOLA KM 73 KWA KIWANGO CHA LAMI
Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi za madini, Kilimo, Misitu na Utalii katika mikoa ya Shinyanga, Geita, Tabora...
Kwa hakika CHADEMA imekamilika. Kwa maana makamanda wake takribani wote, ni moto 💥🔥💥!
Akihojiwa live leo na kituo hicho maarufu 88.7 pande za huko, kamanda huyo hakumung'unya maneno.
"Kwamba:
1. Bila katiba mpya, kwa hali ya sasa rais anaweza kufanya lolote ikiwamo ndivyo sivyo bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.