kaka

  1. Setfree

    Jamani kaka yangu; hayo unayomfanyia wifi yangu, Mungu anakuona!

    Kila siku wifi anaamka alfajiri, anakuchemshia maji ya kuoga. Anafanya usafi wa nyumba, anapika chai, anaogesha watoto. Anaenda kutafuta mkaa, anahakikisha familia imepata chakula. Sokoni anakazana—anauza maandazi ili watoto wapate ada ya shule maana wewe huwalipii. Jioni inamkuta bado kwenye...
  2. RoadLofa

    NIMEOTA NIMEPIGIWA SIMU NA KAKA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA MAMA........

    Aiseee kulala lala mchana jau sana leo nikiwa nimelala nikaota nimepigiwa simu na kaka yangu ninayemfuatia kuzaliwa akidai tumefiwa na mama yetu mkubwa japo hatruna mama mzazi wala mama wakubwa wote waameshatangulia mbele za haki na tumebaki na mama mdogo tu/mlezi na akaiunganisha iyo simu na...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Pale kaka yake alipo dhamiria kumuua mdogo wake kisa mdogo wake kaondoa Ng'ombe zake kwa kaka yake

    Huenda Heading isilete maana ya moja kwa kwa moja lakini kwenye maelezo nitaeleza kwa kirefu sana.Japo ni ndefu ila nitafupiza sana mimi sijui kuandika ....".inaendelea" Hii ni familia kubwa ya kisukuma ambayo baba yao mzazi alifariki miaka zaidi ya 30 iliyopita.Hivyo kwa utamaduni wa...
  4. Eli Cohen

    Inasemekana Ilhan Omar aliandaa shughuli ya kuolewa na kaka yake ili ahakikishe kaka yake asitupwe nje ya Marekani na kurudi Somalia

    Kiongozi wa jamii ya Somalia iliopo USA, Abdihakim Osman anadai Ilhan Omar alikiri Ilhan kuolewa na kaka yake, Ahmed Elmi, ili kupata nafasi ya kuendelea kuishi Marekani. Osman: "Alisema alihitaji kupata documents ya kuhakikisha kuendelea kuwepo USA kaka yake, sisi tulifikiri alimaanisha...
  5. Mshangazi dot com

    Je ni sawa kuolewa na kaka yako wa kambo?

    Nimeshirikishwa kwenye mgogoro wa kifamilia ambao wazazi waliooana wote wakiwa na watoto waliozaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa. Wakati wanaoana, mtoto wa kiume alikuja na mke / mama akiwa na miaka 9 na mtoto wa kike alitokea upande wa mume na alikua na miaka 4. Hawajachangia damu ila wote...
  6. KikulachoChako

    Shemeji; Mimi naongea na Kaka yako nikiwa sina nguo, tuone atamsikiliza nani

    Kweli maisha ni safari ndefu sana...... Nimekumbuka kisa kimoja miongo kadhaa nyuma.....wakati najitafuta nilijikuta nimepata hifadhi kwa Kaka yangu( Mola amrehemu).........Shemeji ilionekana hakuridhia uwepo wangu pale ingawa nilikuwa muda mwingi sipo nyumbani..... Niliyajua hayo kupitia...
  7. SweetyCandy

    Kaka yangu anatafuta mke wakuoa

    Awe muislam . Awe anajua dini . Apende kusali, Awe anajali na awe ametulia . Awe mrefu wastani. Elimu awe nayo awe anajua lugha ya kingereza kaka yangu anakijua vyema . AWe anajisitiri . AWe anakazi nzuri. Mawasiliano njo Dm nikupe nipo serious . Miaka 27 mpaka 33 asiwe na mtoto . good night...
  8. Magical power

    Ushuhuda wa kuogeshana na mpenzi

    Kaka Magical power nina ushuhuda kuogeshana Umekuwa ukiandika kuhusu kuoga pamoja na mtoto wa mtu. Nilikuwa sipendi kabisa kuoga na mwanamke leo ukawa umeandika tena nikasema nitajaribu ili nione alipoingia bafuni nikamgongea mlango akafungua nikaingia kuoga Nikamwambia naomba uniogeshe huku...
  9. Camilo Cienfuegos

    Kumekucha: Trump anataka mafaili yote ya siri kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy yawekwe wazi kwa umma

    Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri. Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
  10. GENTAMYCINE

    Mtani wangu Mkubwa na Kaka yangu Maxence Melo ana Undugu wowote na Mwanasiasa Boby Wine wa Uganda kwani wamefanana sana

    Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na yule 'Mjanja Mjanja' wa 'Kiimani' Tanganyika Packers Kawe. ANGALIZO Hili ni Jukwaa la CHATS and...
  11. Pascal Mayalla

    Je Zanzibar Inahitaji Truth & Reconciliation Comm。Kuponya Makovu ya Mapinduzi, ili Upinzani Ukishinda,Upewe?。Sis & Bro,Can You Please Do The Needfu?。

    Wanabodi, Makala yangu kwenye Nipashe ya Jumaoili ya Leo。 Leo Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Januari 12, 1964, ilikuwa ni siku ya Jumapili. Leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakati Wazanzibari wengi wanashereheka kuyapongeza Mapinduzi...
  12. Mungu niguse

    Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

    Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama wakuu. Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri. Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Kuna binti anataka kufanya partnership (biashara) na wifi yake (mke wa kaka yake)

    Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka. Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye partnership. Watu wenye uzoefu na biashara za kufanya na ndugu hili swala mnaweza kushauri vipi.
  14. Waufukweni

    Kaka wa Tundu Lissu aibua masikitiko juu ya ukimya wa uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi (Lissu) Dodoma

    Alute Munghwai, Kaka wa mwanasiasa maarufu wa upinzani, Tundu Lissu, ameonyesha masikitiko makubwa kuhusu ukosefu wa maendeleo katika uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa ndugu yake jijini Dodoma miaka saba iliyopita.. Akizungumza kwa masikitiko makubwa, amesema: “Ukumbuke alivyoshambuliwa...
  15. Pascal Mayalla

    Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

    Wanabodi, Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu. Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu...
  16. Magical power

    Kaka nilikutana na huyu mwanamke akiwa amepigika nikamzoa Hadi Akawa mtu katika watu

    Kaka nilikutana na huyu mwanamke akiwa amepigika nikamzoa Hadi Akawa mtu katika watu, alikuwa anatembeza soksi na nguo za nd0ani mtaa Kwa mtaa amepauka miguu ndara zimekatika. Nilimpa Msaada nikamnunulia sendo hapo ndipo ikawa mwanzo wa kufahamiana niliona mwanga ndani yake na nilitarajia...
  17. R

    Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

    NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU! Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu. Huyu Kaka ana kampuni yake...
  18. Magical power

    Hakikisha haikosi ndani mwako hii kitu kaka

    Hakikisha haikosi ndani mwako hii kitu kaka
  19. Magical power

    Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa.

    Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa, kumbe rahisi niliamua kujitoa akili nikalipa double kwenye send-off ya rafiki nikamuomba kampani tukaenda wote nikawa sikuwa na haraka basi akaumwa akanipigia simu anaumwa...
  20. kesho kutwa

    Mke wa Kaka hataki kunifulia nguo

    baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
Back
Top Bottom