Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.
Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga...
Mnamo September 6 niliandika Uzi uliohusu Hali ya biashara yangu kukosa wateja, nilipokea maoni mbalimbali kwenye Uzi na PM pia (Nawashukuruni nyote kwa maoni yenu na ushauri )
Miongoni mwa PM nilizopokea ni za huyu dada (sitopenda kumtaja) dada huyu yupo Kigamboni
Alinifuata PM akanambia kama...
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa kuwa Kisa hiki Al-BaKisa cha Al-Baqarah (Ng’ombe)i kimetokea miongoni mwa Wana Israel enzi za Nabii Mussa nduguye Haruni
Kwamba yupo Muisrael mmoja tajiri aliuawa na watu walianza kuwatuhumu baadhi kuhusika na mauaji yao na waliwaaminisha jamii nzima kuwa...
Director wa video za muziki nchini Nigeria Omori @boy_director mwaka wazi kua kaka yake ameokoa maisha yake kwa kumpa figo moja, Omori kupitia uku rasa wake wa Instagram ameshiriki picha inayomuonesha akiwa hospitali kwa akili ya matibabu na kuandika “ Jana kaka yangu alinipatia figo yake ili...
Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner, begi moja likaonekana lina tatizo. Likaekwa pembeni, nikaitwa, mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu, ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao...
Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani.
Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge.
Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka.
Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka...
TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE TWATAKA MAJIBU
Mara upo Marekani,
Mara upo kijijini,
Mara haupo kambini,
Hatukuoni ndegeni,
Twakuita kikosini,
Sasa upo nchi gani?
TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE TWATAKA MAJIBU.
Maokoto, nyumba pia,
Vyote tulikupatia,
Bado umetukimbia,
Pesa hatutapokea...
Ipo hivi miaka kama kumi nyuma, baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko Tukuyu Busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji, sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watatu, na mbaya zaidi shangazi zetu...
Aisee, kama ndoa ndo ngumu kiasi hiki, hiki kikombe kiniepuke kwa kweli. Ni mara mia nitafute mdada, nimpachike mimba kwa makubariano. Siwezi, nasema tena Siwezi, Mola anisaidie. Ni kugumu japo nimechungulia dirishani tu
Ni kaka yetu japo si wa damu, na sisi ni kama wadogo zake japo kutokea...
Kuna kaka (baba) mmoja anakopesha kwa riba, akawa ana date dada mmoja mke wa mtu.... Yule dada na mumewe wakapata dharura, akashauri mumewe wakope pesa kwa mchepuko (mumewe hajui kama mkopeshaji ana date na mkewe) wakaweka nyumba yao kama dhamana.
Penzi likanoga, mume akimpa mke marejesho...
20 May 2024
Ikungi, Singida
Ukoo pia wanakijiji wameamua baada ya kuligusa gari na yale matundu ya risasi watafanya tambiko la kijadi
https://m.youtube.com/watch?v=w8L0W7rtMX8
Msemaji wa familia ya ukoo na pia kaka wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu, advocate Bw Alute...
Kati ya wachezaji wenye bahati ni mkude. Yaani wakati Simba wanamwona wa nini Yanga watamtaka lini
Dili ikatimia kijana anabeba makombe hivi sasa. Likewise ndugu yetu kaka yetu kisinda wa Berkane alikuja Yanga.
Kila mtu akaongea yakee baana imetoshasasaà arudi alipotoka.
Kisinda anacheza...
Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban.
A very catchy melody . Ni aina ya wimbo ambao hata ukiusikia kwa mara ya kwanza unakukumbusha sehemu ambayo...
Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana.
Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao.
Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano.
Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi...
Kumekuwa na tabia kwa serikali kutengua uteuzi wa viongozi wa umma kwa tuhuma za kuhusika katika vitendo vya kihalifu.
Ila kwa bahati mbaya utenguzi huu huwa unatumika kama mbadala wa kutokuwashitaki viongozi hawa katika mahakama kulingana na makosa ya jinai waliyoyafanya.
Kwa misingi...
Kuna mchuano mkali sana unaendelea kwenye siasa za mjii wa Moshi ambako makada wawili wa Chama cha Mapinduzi, Priscus Tarimo (mbunge)na Ibrahim Shayo a.k.a Ibra Line kuelekea uchaguzi Mkuu hapo mwakani.
Mchuano huu umekolea hasa kwenye magroup ya WhatsApp ambako Ibra Line amepewa jina jipya la...
Tuiangalie dhana ya 50/50 katika nyanja ya uchumi kwenye mahusiano. Hapo zamani mwanamke akupewa access yoyote kiuchumi kuanzia ajira, elimu, kumiliki mali, uongozi n.k katika hali kama iyo ni sharti ahudumiwe na mwanaume. Mwanamke hana ajira, hana makazi, hana mali sasa ataishi vipi lazima...
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu.
Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe.
Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
Jana nimepoteza kaka yangu niliyekuwa namfuatia; yeye alikuwa anaishi kijijini ambako ameishi tangu aliporudi vitani mwaka 1980. Alikuwa mtu mzima sana; kinachonisikitisha zaidi ni sababu ya kifo chake.
Alikwenda kunywa pombe za kienyeji na kendelea kunywa kwa siku mbili mfululizo bila kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.