kaka

  1. Qashy Lilith

    Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

    Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa...
  2. Magical power

    Nampenda sana lakini kila nikiwaza kulea watoto ambao sijawazaa moyo unakuwa mzito

    Habari kaka Magical power, nina umri wa miaka 33 Nina Mtoto mmoja, sielewi Mimi ni single au nijiteje kuna jamaa ambaye tumetokea kupendana kwa miezi nane sasa, ila tatizo nikuwa aliachana na mke wake na ana watoto watatu na huyu ex wake. Nampenda sana lakini kila nikiwaza kulea watoto ambao...
  3. Magical power

    Nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu

    Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada. Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
  4. Magical power

    Mwanaume wangu hataki kufanya kazi. Mimi ndiyo na mlea na mtoto wangu, naombeni ushauri wenu

    Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25 Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata tamaa huyu kaka toka nimekua nae kwenye mahusiano alikuaga hana kazi mimi nikajitahidi pale nilipokuaga...
  5. Magical power

    KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi

    KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi au blazia, wewe nunua rangi uzipendazo kumuona amevaa📌 Unaweza kuchukua 20k ukanunua nusu dozen ya chupi kiwango ukampeleke kipenzi chako au...
  6. Father of All

    Kwanini wanawake wa kichaga kila mtu ni kaka yake japo nyuma ya pazia hawana kaka wala baba. mdogo bali wote halali?

    Samahani kwa mliiooa wanawake wa kichaga. Uzoefu wa wengi ni kwamba wanachukuana wao kwa wao. Kila anayekuja ni kaka wakati ni washikaji hata wengine wana ukoo wa damu kama mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo au mkubwa. Je hii ni mila au?
  7. Magical power

    Kaka pamoja na kwamba umeamriwa kupenda ila hakikisha unayempenda naye anakuelewa kuna utii, baraka na matendo mema utayapata

    Kaka pamoja na kwamba umeamriwa kupenda ila hakikisha unayempenda naye anakuelewa kuna utii, baraka na matendo mema utayapata Mwanamke akupenda kuna upendo utaupata, atakusaidia na atasimama na wewe kwenye changamoto zako. Mwanamke akikupenda hata kama atakuwa na mzuri wa muonekano au atakuwa...
  8. Magical power

    Kaka hawa ndio wanawake na uhitaji wao kurinagana na umri wao walionao

    MIAKA 18-25 Umri huu wa wanawake walio wengi wao wanawaza masomo walioko shuleni ila walioko nyumbani wanawaza kuolewa wawe na familia Wanaosoma wana taswira za kubwa baada ya masomo yao yaani waajiriwe waanze kupokea mshahara na wengine wanawaza KUENDELEA kusoma masomo ya juu kama digree...
  9. Magical power

    Kaka Magical power umeamkaje na familia yako.

    Kaka Magical power umeamkaje na familia yako Kaka naomba kuwaambia watu hasa wadada wenzangu wajifunze kukoment positive kuna faida kama kuna post unaona huwezi kuandika kitu achana nayo. Mimi ni mfuasi wako mzuri sana nipokufollow nikawa nasoma komenti za wanaume walioko humu wengi nikaona ni...
  10. Magical power

    Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako.

    Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka...
  11. Magical power

    Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta.

    Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta. nimefuatilia masomo yako nimefanikiwa kuwa mtu angalau kwa sasa hivi baada kutoka kwenye yale mahusiano magumu ambayo nilikuwa nayo hapo awali Sina budi...
  12. Magical power

    Kama ndoa ndio hii basi imenishinda

    Kaka Magical power habari ya usiku huu kaka Kaka angu ndoa imenishinda kama ndoa ndio hii basi imenishinda, nipo kwenye ndoa mimi ni Bi. Mkubwa mwanaume wangu kaoa wawili mwaka huu kwangu anakuja hata mara mbili kwa mwezi na akija anakuja nikiwa kwenye siku za kike kwasababu anajua mzunguko...
  13. Magical power

    Nina mwanaume ambaye hata kale 'kamoja tu' huwa ni shida

    Kaka Magical power, nina mwanaume ambaye hata kale kamoja tu huwa ni shida inasimama vizuri tu ile tu unaishikashika sababu nimefundwa lazima niishe kwa mkono wangu ndipo niiweke ukiichezea tu unaona tayari kamalizia mkononi hata hajafanya kabisa na ikitokea hivyo basi anavaa analala. Huwa...
  14. Magical power

    Mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anaijua faida hii ya kuoga pamoja

    KAKA ANGU mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anajua Faida ya kuoga pamoja kunafanya ajiamini ajihisi kupendwa na mkaogeshane kwasababu kuogeshwa kuna raha sana unaposafishwa kwa mikono yake , MWANAMKE mnaweza kufika naye bafuni yeye akatoa...
  15. Magical power

    Wanaume, kumfanyia hivi mwanamke wako haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kubwa sana kwake

    Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana. Yawezekana yupo kwenye period...
  16. Magical power

    KAKA hii siri ya mwisho kukupa nimechoka

    KAKA hii siri ya mwisho kukupa nimechoka Tangulia kitandani kavurunge alivyotandika jifanya umelala na umetawanya miguu yako maana akija kulala akute umevurunga shuka atakuambia umke atandike vizuri kitanda😀📌 Uwe kama ulikuwa umesinzia ujinyooshe😀 kisha uvute shuka, duvet ulilokuwa umejifunika...
  17. Magical power

    Kaka usichokijua kuhusu mwanamke

    KAKA USICHOKIJUA KUHUSU MWANAMKE Kaka nakuibia siri mwanamke hapendi kutumia mto kuegeesha kichwa chake chunguza uone Mwanamke hupenda kulaza kichwa chake kwenye kifua cha mwanaume wake au alaze kichwa chake kwenye bega au kwenye mkono kwa mwanaume wake hasa anayekupenda Mwanamke hujihisi...
  18. Eli Cohen

    Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  19. MUWHWELA

    Daktari anatibu nini kama hajajisoma yeye na tamaduni zake?

    Nawasalimu ndugu zangu! Nimejiwazisha tu kwa sauti. NJOO NA MAWAZO YAKO KAMA MENGINE HUKUBALIANI NAYO. I stand to be corrected Daktari ANATIBU nini kama mwenyewe na jamii yake HAJAJISOMA? why nimewaza hivi.. Kuna mahala pakubwa sana sisi kama waarifka tumekuwa corrupted 100% na mifumo ya...
  20. E

    Hongera kaka Lugumi…

    Huyu kaka ni mtu mpole mcha mungu na mtu wa watu hana makuu hana baya na mtu, mtu wa tabasamu lisiloisha tena kutoka moyoni hana chembe ya unafiki na Mungu kambariki hekima kamwongezea na vingine
Back
Top Bottom