kaka

Ricardo Izecson dos Santos Leite (Brazilian Portuguese: [hiˈkaɾdu iˈzɛksõ duˈsɐ̃tus ˈlejt͡ʃi]; born 22 April 1982), commonly known as Kaká (Portuguese: [kaˈka] (listen)) or Ricardo Kaká, is a Brazilian retired professional footballer who played as an attacking midfielder. Owing to his performances as a playmaker in his prime at A.C. Milan, a period marked by his creative passing, goal scoring and dribbles from midfield, Kaká is widely considered one of the best players of his generation. With success at club and international level, he is one of eight players to have won the FIFA World Cup, the UEFA Champions League and the Ballon d'Or.Kaká made his professional club debut at age 18 at São Paulo in Brazil in 2001, and his performances with the club led him to joining Serie A club AC Milan in 2003. In Italy, Kaká helped Milan finish runners up in the 2004-05 UEFA Champions League with him being the top assist provider of the tournament, and named the UEFA Club Midfielder of the Year. He led Milan to win the 2006-07 UEFA Champions League and was the tournament's top goal scorer. His performances saw him win the FIFA World Player of the Year, the 2007 Ballon d'Or, the UEFA Club Footballer of the Year and the IFFHS World's Best Playmaker awards. After six years with Milan, Kaká joined Real Madrid in 2009 for a transfer fee of €67 million, which was the second highest transfer fee at the time. However, after four injury troubled seasons in Spain, which saw his physical mobility rapidly decline, he returned to AC Milan for a single season in 2013, prior to joining MLS expansion club Orlando City. He initially returned to his former club São Paulo on loan, before relocating to the United States in 2015 and retiring in 2017.
Kaká made his debut for the Brazil national team in 2002, and was selected for their victorious FIFA World Cup squad that year, as well as the 2006 and 2010 tournaments. He was also a member of Brazil's 2005 and 2009 FIFA Confederations Cup-winning squads, winning the Golden Ball Award in 2009 as the tournament's best player.
In addition to his individual awards, between 2006 and 2009 he was named in both the FIFA World XI and the UEFA Team of the Year three times. In 2010, he was named in the A.C. Milan Hall of Fame. One of the world's most famous athletes during his playing career, Kaká was the first sportsperson to amass 10 million followers on Twitter. Off the field, Kaká is known for his humanitarian work, where he became the youngest ambassador of the UN World Food Programme in 2004. For his contributions on and off the pitch, Kaká was listed by Time as one of the world's 100 most influential people in 2008 and 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Double Standards za wanawake kwa waume zao dhidi ya ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao

    Wanawake ni viumbe wa kustaajabisha sana. Nakupa mifano michache kuonesha jinsi wanawake wanakuwa na double Standards kwa jambo moja lile lile dhidi waume ama wapenzi wao na ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao. 1. Wanawake wako tayari na wanafurahia sana kuona kaka ama ndugu zao wa kiume...
  2. Moto kichakani: Kama mtoto hajafanana na wewe au mzazi wako, kaka huyo mtoto umebambikwa.

    Sina muda wa kupoteza, natupa kiberiti kichakani. Wa kuungua aungue wa kujisalimisha ajisalimishe. Mungu alijua kabisa kuwa wanaume ni watu watata na wenye utawala ndani yao. Hivyo anahakikisha kila mtoto anayetaka kiunoni mwa mwanaume lazima afanane naye, lazima. Bila kujali jinsia ya mtoto...
  3. Kaka wa kipare ashindwa kumtongoza Vera Sidika....

    msome huyu mwamba kwa ufupi afu useme kafeli wapi? Mpare: Money Penny bwana kuna kisa nataka nikueleze, kuna dada anaitwa Vera Sidika, nilimtongozaga mwaka 2014 nikiwa kenya Money Penny: aisee, ikawaje? Mpare: nilikutanishwa nae club bwana na marafiki zangu, ila sina hamu Money Penny...
  4. K

    Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Kaka yangu amefariki last two weeks. Alikua Mtumishi wa Umma wa cheo kikubwa tu wizara fulani. Ofcoz, siwezi kudanganya serikali iliuchukua huu msiba serious, sijajua ni kwa sababu ya miongozo yao au ni kwa sababu ya ukaribu kati ya bro na boss wake. Anyway bro alifaraiki ghafla sababu...
  5. Akina dada na kaka wanawekana kinyumba. Moja ya sababu ya kataa ndoa

    Gwala kwa wana Jf wote, kwa wengine wote ninawapa salamu yangu ya heshima! NB: Naomba kwanza niombe samahani kwa ambaye atakereka na mada tajwa, pia hii sio sehemu ya utafiti na hivyo haitakiwi kuchukulia hili jambo kwa ujumla. Naomba rasmi nianze na uzi huu, kwa miaka ya hivi karibuni...
  6. Kuna umri ukifika kukaa kwa ndugu mwenye familia si uungwana hata kama ni kaka au dada, mpishe tafuta shughuli uende kwako!

    Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe, Haya ni mambo...
  7. Mke kwaajili ya kaka yangu.

    Habari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna mda unaweza kaa nae akaongea tu vizuri na sometimes anavuruga maneno. NB(sio chizi kwamba anavua...
  8. Vijana tujitafute kwa kujitofautisha na wengine

    Vijana wenzangu ifike wakati sasa tuwekane wazi ya kuwa, hatuna tena mtu wa kumtegemea; sio wazazi, sio ndugu, hivyo vijana wenzangu tuamke na tukajipambanie wenyewe. Maisha ni mafupi sana kusubiri kile tunachokitaka kitufuate tulipo, tena kwa muda muafaka. Najua wengi tunatafuta ajira pia...
  9. R

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Habari za weekend, Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae. Alitoa kisa kimoja hivi cha kweli kabisa. Ilikuwa hivi. Kulikuwa na Baba mmoja alizaa na mkewe watoto 3, wakike 2 na...
  10. Case Study: Kaka Yangu hana marafiki hata wa kumtembelea, ni super introvertm Baba alimlea kwa namna aliyodhani itamlinda kumbe ni kumletea matatizo

    Na mimi nililelewa kwa staili hii lakini nilipokuja kuona tunaishi tofauti na jamii nilimkaidi mzee na ndio ponea yangu, (nilishaweka uzi huu). Ipo hivi yani, Mzee ni mtu ambae alikuwa anatulea katika mtindo ambao ulitufanya tuwaone watu nje ya familia kama vile hawahitajiki. Kufungiwa ndani...
  11. Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

    Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe. Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye...
  12. UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi. 2. Amemteua...
  13. Unaweza kumuoa mwanamke aliyewahi kulala na kaka yako?

    Chukulia scenario hii. Umemfahamu mwanamke mmoja mrembo hivi ambaye ulikuwa unajua anafahamiana na kaka yako ingawa ulidhani uhusiano wao ni urafiki tu na ujirani mwema. Mazingira yakabadilika, hisia zikaongezeka kati yako na yeye. Ukataka kujiridhisha kama kaka yako hajawahi kula mzigo, demu...
  14. Brother wangu wangu amesema nitoke nyumbani baada ya kumla mke wake, kwahiyo amesema akitoka London asinikute nyumbani! Najuta kumla mke wa kaka sheme

    Wapi nitaiweka sura yangu? Na huu u Jobless wangu? Au nirudi nyumbani maganzo nikalime pamba na kuchunga ng'ombe jamani ujanja wa kiboya umeni cost kiukweli brother hataki kuniona kabisa 😢 😭 😿 na amesema akitoka London asinione la sivyo ataniua Wakuu si mnakumbuka post yangu ja jana ya kumla...
  15. Building Better Tomorrow (BBT): Hongera Bashe, sisi wakulima tunasema piga hela za Rais Samia haswa, zile kwelikweli Kaka!!

    Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa ! Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?. Sasa Ukiwa Waziri ,mwenye akili ya Ulaji, Kwa Samia lazima upige , yes unapiga kwakua Samia sio mfatiliaji, ili mradi...
  16. Nimemla shemeji mke wa kaka yangu baada ya kaka kwenda London

    Nilimuambia brother huyu mke wako nitamla ILa brother alikuwa mbishi na kiburi kwa sababu anasema mke ni mwaminifu nikasema bwana mke wako mbona ananitega? Kwasababu akienda bafuni anaenda na kanga moko halafu anitingishia matakro ila sijajua kwanini ananitega kwasbabu mimi nina akili au nini...
  17. Kaka Kama umeoa we tulia tu na moron maana nyumba ndogo ni kubwa kuliko nyumba kubwa

    Kama umeoa tulia tu na mkeo , maana nyumba ndogo Ni kubwa kuzidi nyumba kubwa . Mnaweza Kupata ushauri kwa wenye nyumba ndogo.
  18. Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
  19. Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  20. G

    Naumia sana nikikumbuka usumbufu wa kaka ulivyomfanya mama awe analia na kupata stress, wengine mpo ambao mliona mama anakosa raha kisa mtoto?

    Ilikuwa 2005 hai 2007 wakati kaka akiwa na miaka 16 hadi 18, alikuwa anamfanya mama alie sana na mimi nilikuwa najisikia vibaya sana kumuona mama analia machozi na kupiga ukunga wa maumivu, very painfull! Kaka alihamishwa shule kibao kwa utoro, uhuni, n.k. Alijiunga na makundi mabovu ya wavuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…