kamati ya bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Tabora: Kamati ya Bunge yaridhishwa ujenzi Bwawa la Kizengi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson Kiswaga, imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika Kijiji cha Kizengi, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora. Pia soma Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa...
  2. The Watchman

    Pre GE2025 Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91

    Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
  3. Pfizer

    Pre GE2025 Kamati ya Bunge yaridhishwa na ujenzi wa bwawa Uyui; Wizara ya maji yapongezwa

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson kiswaga imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika kijiji cha Kizengi wilaya ya Uyui mkoani Tabora . Kwaniaba ya kamati hiyo Mwenyekiti wa kamati Mhe kiswaga amesema wameridhishwa na Ujenzi wa Mradi huo na...
  4. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Yataka Ulinzi wa Daraja la Mawe Garkawe

    KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI YATAKA ULINZI WA DARAJA LA MAWE GARKAWE OR-TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, imewataka wananchi kuacha shughuli za kilimo kando ya mto ulipojengwa Daraja la Mawe la Garkawe katika barabara ya Maretadu - Garkawe, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili...
  5. N

    Kampuni ya Sukari Kilombero yatembelewa na Kamati ya Bunge kushuhudia maendeleo mradi wa upanuzi wa kiwanda cha K4

    Morogoro, 20 Februari 2025. Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo leo wameitembelea Kampuni ya Sukari Kilombero mkoani Morogoro ili kujionea maendeleo ya mradi wa kimkakati ya upanuzi wa kiwanda cha K4. Lengo la ziara hiyo likiwa ni kushuhudia uwekezaji huu...
  6. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo lapendekeza Kuvunjwa kwa Mkataba wa Mkandarasi wa Mradi wa Umwagiliaji Mgongola

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imependekeza Wizara ya Kilimo kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ivunje mkataba na Mkandarasi Badr East Africa Enterpries Limited ambaye anatakeleza ujenzi wa mradi wa Skimu ya Umwagiliaji Mgongola Wilayani Mvomero mkoani...
  7. The Watchman

    Pre GE2025 Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yaridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) uliofikia asilimia 99

    Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari 2025. Akizungumza wakati wa majumuisho mara baada ya ziara ya kukagua ujenzi wa maktaba hiyo...
  8. Braza Kede

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  9. ChoiceVariable

    Kamati ya Bunge: Injini za Boeng zaleta hasara ya Bilioni 127 kwa ATCL

    Swali: Je ni lazima kuendelea kununua mandege ya kampuni ya Boeng? --- LICHA ya mafanikio yanayopatikana kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Kamati ya Bunge ya Miundombinu imesema matatizo ya kiusanifu ya injini za Airbus A220-300 ambazo zimekuwa zinapata hitilafu mara kwa mara...
  10. Wizara ya Ardhi

    Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya utekelezaji bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa nusu mwaka 2024/2025

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Katika kikao hicho...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Wanu Ameir Awasilisha Taarifa ya OACP/EU Kwenye Kamati ya Bunge la Tanzania

    MHE. WANU H. AMEIR AMEWASILISHA TAARIFA YA OACP/EU KWENYE KAMATI YA BUNGE Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Vita Kawawa wamepokea na kujadili Taarifa ya Wawakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mabunge ya Afrika, Carribeani...
  12. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge, PIC Yaridhishwa na Uwekezaji wa Serikali Viwanja vya Ndege Nchini

    KAMATI YA BUNGE, PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI VIWANJA VYA NDEGE NCHINI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Ujenzi wa Viwanja vya Ndege nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam 15...
  13. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge Yaitaka TRC Kuweka Mikakati ya Kuhudumia Mizigo Ili Iweze Kujiendesha

    Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeipongeza Serikali kwa kukamilisha vipande viwili vya vya mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kuanza kutoa huduma. Akizungumza jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba 2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)...
  14. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge yawataka Watumiaji wa Daraja la Nyerere, Kigamboni Kulipia Bando

    *Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu *Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere...
  15. Stephano Mgendanyi

    Kukamilika kwa Mradi wa Umeme Rusumo Kunazidi Kuimarisha Gridi ya Taifa - Kamati ya Bunge

    📌 Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda 📌 Kila nchi yafaidika na megawati 26.6 📌 Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri wa Tanzania, Burundi, Rwanda Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha megawati 80...
  16. B

    Kamati ya bunge yaipongeza Serikali uwekezaji kiwanda cha Chai Mponde

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uamuzi wake wa uwekezaji kwenye kiwanda cha Chai Mponde Uwekezaji huo umefanywa kupitia Mfuko wa Fidia kwa...
  17. Pfizer

    Kamati ya Bunge yaimwagia sifa Wizara ya Maji kwa kazi nzuri Dar es Salaam

    Kamati ya Kudumu Bunge Maji na Mazingira imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji wa Usafi wa Mazingira katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na kuridhika na kasi ya utekelezaji wake...
  18. Roving Journalist

    Kamati ya Bunge yamtaka Mkandarasi kumaliza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mikumi kwa wakati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, Badr East Africa Enterprises Ltd. wenye gharama ya Sh. Bilioni 20.6 kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Ujenzi huo...
  19. Roving Journalist

    Kamati ya Bunge yapongeza uwekezaji kiwanda cha Mkulazi

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Fatma Toufiq amepongeza uwekezaji uliofanywa katika kiwanda cha sukari cha Mkulazi. Mhe. Fatma ametoa pongezi hizo katika ziara ya kamati hiyo ya kukagua maendeleo ya kiwanda hicho kilichojengwa na Shirika la Hifadhi...
  20. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge Yaridhishwa na Mradi wa REGROW Hifadhi ya Taifa Ruaha

    KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MRADI WA REGROW HIFADHI YA TAIFA RUAHA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyo chini ya Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza...
Back
Top Bottom