KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA KASI YA UJENZI WA UWANJA WA ARUSHA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya mwenyekiti wake Mhe. Husna Sekiboko imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Jijini Arusha kufuatia muda na kiasi cha pesa ambacho Serikali...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Timotheo Mnzava (Mb)imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiambatana na Menejimenti ya Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa amefika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kuwasilisha taarifa ya Hali ya huduma ya Maji katika Majiji nchini ambayo ni DAR ES SALAAM (DAWASA), MWANZA (MWAUWASA), TANGA (TANGAUWASA)...
Kamati ya Bunge yapongeza zoezi la ufutaji wa leseni na maombi yasiyokidhi vigezo.
● Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa.
Dodoma
Imeelezwa kuwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kiasi cha maombi 2648 ya utafutaji wa madini yamefutwa na kuondolewa kutokana na...
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo ameongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea Maelezo ya Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania (The Law School of Tanzania...
KUINA Tetesi zinazoendelea kuwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili waliopewa jukumu la kumshughulikia Mpina wameanza kugawanyika wengine wakidai Mpina hana kosa lolote na hajavunja Sheria wengine wanadai kwa kuwa Spika ndiyo amewapa hiyo kazi ni lazima waimalize.
Pia kuna tetesi kuwa baadhi ya...
KAMATI YA MIUNDOMBINU YAKAGUA BARABARA YA NORANGA- ITIGI, YAAGIZA MRADI UKAMILIKE KWA WAKATI.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia mkandarasi kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa barabara ya Noranga-Itigi (km...
Meneja wa Barrick nchini Tanzania, Melkiory Ngido (katikati) akitoa ufafanuzi katika kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ilipotembelea mgodi wa Barrick North Mara ,(kushoto) ni Meneja wa mgodi wa North Mara, Apolinary Lyambiko,(kulia) ni Meneja wa Mahusiano ya Jamii wa mgodi...
Ukaguzi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini jumla ya Magari ya Serikali 547 yalikuwa yameegeshwa kwenye Karakana za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na katika baadhi ya Taasisi za Serikali
Aidha, baadhi ya magari yaliyotelekezwa hayakuwa kwenye mipango ya...
Dodoma, Dodoma
Kamati ya Bunge ya kudumu ya Mahesabu ya Serikali yaani PAC imeeleza kuridhishwa na kazi zinazofanywa na menejimenti ya Serikali Mtandao wakati walipodhuru kituo cha Ubunifu na Uendelezaji Vipaji jijini Dodoma. Wakizungumza baada ya kukagua kazi zinazofanywa na kituo hicho...
NISHATI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dkt. David Mathayo amesema Utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP), umefikia 95.83% na utakamilika Juni 2024 huku Tsh. Trilioni 5.85 (89.24%) zikiwa zimelipwa kwa Mkandarasi.
Amesema...
Na. WAF, Dodoma
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Maswala ya UKIMWI imeipongeza menejimenti na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa kwa ubora wa Huduma na kuwatia moyo kwa kuendelea kuwahudumia wananchi .
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya...
Nimemsikiliza Mwenyekiti ya kamati ya Bunge. Huyu ndugu alipewa majukumu mawili kwa wakati mmoja. Kusikiliza wananchi na kupeleka maoni yao bungeni au kusikiliza maoni ya wanakamati na kuyapeleka bungeni.
Kwa namna hali ilivyokwenda hata vyombo vya habari vimekosa cha kuwaambia wananchi...
Taasisi nyingi ikiwemo TEC, KKT, CCT, BAKWATA na mengineyo na pia watu wengi wametoa maoni yao kuhusu sheria 3 zilizowasilishwa Bungeni Novemba 2023 na kwa asilimia kubwa wameiomba Serikali na Bunge ifanye marekebisho katika sheria hizo. Nitatoa mifano michache:-
(1) Uchaguzi wote uende kwa...
Na. Beatus Maganja
Kamati ya kudumu ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa kwake na utekelezaji wa miradi ya mpango wa Taifa wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 iliyotekelezwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ndani ya Pori...
Watu mbalimbali, Taasisi mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu miswada mitatu iliyosomwa Bungeni Novemba, 2023 sasa tunawaomba mtende haki na yale maoni yaliyotolewa yatiliwe maanai.
Watanzania ni waelewa na msije mkadanganyika na kuyaacha maoni yao naomba muyazingatie kwa manufaa ya nchi yetu.
Taarifa ikufikie popote Ulipo duniani , Kwamba miongoni mwa mambo Makubwa yatakayotokea leo Duniani ni Pamoja na Chama kinachoungwa mkono na Watanzania wengi kuliko Chama chochote cha kisiasa , CHADEMA leo 10/01/2024 kinatoa maoni yake kwenye Kamati maalum ya Bunge kwa ajili ya Marekebisho ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na usimamizi wa fedha ujenzi wa miradi ya Umwagiliaji katika mashamba ya Taasisi ya Utafiti wa Mbegu (TARI) pamoja na Mashamba ya Wakala wa Mbegu za kilimo (ASA) ikiwemo shamba la mbegu Ngaramtoni pamoja na shamba la mbogamboga Tengeru mkoani...
Hadi kufikia Mwezi April mwaka 2024 Watanzania hawatakuwa na tatizo la mgao wa umeme kufuatia kukamilika kwa vituo vya kuzalisha umeme sambamba na kuanza kwa uzalishaji wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere.
Kauli hiyo imetolewa na David Mathayo mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati...
Mwenyekiti Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Victor Kawawa amesema wameridhishwa na jinsi SUMA JKT walivyotekeleza maelekezo yao kwa kukifanya kiwanda cha maji ya Uhuru kuongeza kasi ya uzalishaji.
Ameyasema hayo kwa niaba ya wajumbe wa Kamati hiyo wakati wa ziara kwenye kiwanda hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.