Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imetaja mambo matatu yanayochangia kupanda kwa bei ya mafuta ikiwemo uwezo mdogo wa maghala ya kupokelea na kuhifadhi mafuta nchini.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dustan Kitandula ameyasema hayo leo Jumanne Februari 15, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya...
Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara.
Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara...
Kamati ya Bunge ya masuala ya UKIMWI imebaini ongezeko la matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba kwa Wasichana hasa wenye umri kati ya miaka 10 – 24 ambapo licha ya kuwa na lengo la kuzuia mimba, matumizi ya vidonge hivi ambavyo vimekuwa vikiuzwa kwa bei ya chini imebainika yamechochea maambukizi...
Huenda CAG Mstaafu Prof Mussa Assad akafika tena mbele ya kamati ya bunge kuhojiwa kutokana na kesi yake iliyofunguliwa na Zitto Kabwe ya kupinga kuhojiwa kutupwa na mahakama.
Prof Assad ana tuhuma za kuliita bunge la Tanzania kuwa ni dhaifu na halijiwezi kwa chochote pia wabunge wa bunge hilo...
Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko...
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi.
Siku moja kabla Askofu Gwajoma hajahojiwa na kamati ya bunge niliibua uzi unaosema bunge halina mamlaka ya kumuhoji alichoongea kanisani.
Hivyo nikashauri Gwajima akatae kujibu swali lolote atakaloulizwa.
Nilisema wazi ninampinga Gwajima msimamo wake wa kutotaka watu wachanjwe kwani mimi...
Spika wa Bunge amewaita Mbunge Josephat Gwajima na Jerry Slaa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge
Wanatakiwa kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya bunge
Gwajima ametakiwa afike Dodoma Agosti 23 saa saba mchana, Slaa ametakiwa afike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.