kamati ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini kamati ya uchaguzi TFF imetupilia mbali rufaa ya Yanga kupinga Karia kugombea?

    Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na aliyekwenda kusikiliza hatima ya shauri la pingamizi ni mwanasheria wa Yanga. Hivyo, kamati imelitupa...
  2. JamiiForums Tanzania Mgombea nafasi ya Urais TFF Mshindo Msolla kufanyiwa usahili na kamati ya uchaguzi

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa TFF, Dkt. Mbete Mshindo Msolla leo Julai 2 atafanyiwa interview na Kamati ya Uchaguzi pale kwenye ofisi za shirikisho la soka nchini TFF. Interview yake ya uchaguzi itafanyika leo julai 02 saa nne asubuhi pale TFF.
  3. JamiiForums Tanzania Eng. Himba: Tunataka kujua, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF anawezaje kutuambia tuchukue fomu ilhali anajua hatutapata endorsement?

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi amekuja mbele kuudanganya Umma kuwa tuchukue fomu wakati wanajua Endorsement zote zimeshachukuliwa, Yani tunaochukua fomu tunatoa swadaka, mimi sitakubali kutoa laki tano yangu halafu iwe kama nimechangia mapato ya TFF."- Eng. Mustapha Himba. 🗣"Tunataka kujua...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Najitolea kuwa katika kamati inayomuunga Mkono Rais Samia kuelekea Uchaguzi

    Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 Wadau hamjamboni nyote? Mimi ndugu na rafiki yenu Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu Nimeridhishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…