kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na aliyekwenda kusikiliza hatima ya shauri la pingamizi ni mwanasheria wa Yanga. Hivyo, kamati imelitupa shauri hilo kwakuwa sio CEO wa Yanga aliyekwenda kusikiliza shauri hususu pingamizi husika. Je, nani yuko sahihi hapo, kamati au yanga?