kampeni za cccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Ndanda: Samia ataja vipaumbele vya CCM kwa miaka mitano ijayo vikiwemo maji, Elimu jumuishi, barabara na kilimo biashara

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Mtwara, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Ndanda Wilaya ya Masasi ametaja vipaumbele vitano alivyoviahidi kwa wananchi wa jimbo hilo ambavyo ni Ujenzi wa baraba, Maji...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwinyi awashauri wapinzani wake wajikite kwenye umakamu wa kwanza

    Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewashauri baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani kuendelea kushindana kwenye nafasi ya makamu wa kwanza wa rais badala ya kutumia kivuli cha kugombea urais bila malengo ya kweli. Soma zaidi: Cheo cha Umakamu wa kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…