kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Nini kipo nyuma ya kampeni ya kutumia Gesi?

    Tumekua watu wa kurudia na kurukia kila jambo siku za hivi karibu kumekua kampeni za kuipigia chapuo kampuni moja hisa ambayo gesi majumbani ikiwa ni kampeni ya kusisitiza wananchi wa Tanzania kutumia gesi which is good ila suala linakuja kwanini hiyo kampuni. Kwanini bwawa la JNHPP...
  2. B

    #COVID19 Kampeni dhidi ya Covid -19 tiketi 10,000 kugawiwa bure

    Kwa wale watakao ridhia kwa hiari chanjo ya Covid-19 kuelekea 2 November 2022 kuangalia mechi ya Young Africans vs Club Africain, tiketi 10,000 za bure wametengewa. Hii ni maalum kuongeza ufahamu dhidi ya magonjwa kama Covid-19 na Ebola kwa kampeni kuwalenga watu wengi kuongeza ufahamu na...
  3. M

    Uchaguzi wa Novemba Marekani: Biden aahidi kuruhusu utoaji wa mimba kwenye kampeni yake

    Inaonekana Biden anajua wamarekani wanapenda uovu wa utoaji mimba hata akashawishika kuwa atavutia wapiga kura kwa kuwaahidi kuruhusu tena utoaji mimba, kitu ambacho mahakama ya juu ya marekani ilishakizuia na kurudisha maamuzi yawe yanafanywa na serikali ya majimbo. Majimbo mengi hasa...
  4. Milonji

    Dkt. Tulia Ackson onesha uungwana. Omba radhi kwa kutumia jeneza na msalaba wakati wa kampeni 2020

    Salaam wapendwa. Dk. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa, aliwahi Kufanya kosa la KIIMANI akiwa katika harakati za kutafuta Ubunge. Dk. Tulia aliwahi Kutumia Jeneza na MSALABA kama Ishara ya kuizika CHADEMA kwa Mkoa wa Mbeya. Watu walipopiga kelele kwenye...
  5. Poppy Hatonn

    Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya leo matatizo Ni prana. Raila amechoshwa sana na kampeni

    Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his breath back. Siyo rahisi kutabiri nani atashinda. Hata Wainjilisti wanaopenda kutabiri wameshindwa...
  6. BARD AI

    Diamond amelipwa Tsh. Milioni 233.3 kumfanyia kampeni Raila

    Weekend iliyopita ilikuwa siku nzuri kwa Diamond Platnumz wakati mgombea Urais Raila Odinga aliposimama mbele ya Wakenya na kuwaomba kumpigia kura kama Rais ajaye kabla ya Uchaguzi Mkuu unaofanyika kesho August 9. Diamond, pamoja na mpenzi wake wa zamani Zari Hassan, walikuwa bize kupanga...
  7. BARD AI

    Eric Omondi akerwa na Diamond Platinumz kufanya show ya Kampeni Kenya

    Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya ameonesha kukerwa na kitendo cha Mgombea Urais kupitia Azimio nchini Kenya, Raila Odinga kumwalika Diamond Platinumz kufanya show kwenye kampeni zake leo. Diamond ameingia Kenya leo akitokea Afrika Kusini alikoenda kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake...
  8. Mung Chris

    Nigeria: Msanii agoma kumsapoti mwanasiasa kwenye kampeni ili heshima yake kwa kila mtu ibaki palepale

    Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi 54,935,758.91 za Tanzania ili kumsapoti mwanasiasa anayefanya kampeni, mwanasiasa huyo aliona akimtumia huyo msanii kwenye kampeni atapata wanachama wengi na kura zitaongezeka, ila...
  9. saidoo25

    Serikali kutumia Shilingi Milioni 500 kufanya kampeni ya kuhamasisha matumizi ya nishati bora ya kupikia

    Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati kwa Mwaka 2022/ 2023 Serikali imetenga Milioni 500 kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupigia ambayo ni Gesi. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2022/23, Serikali itatekeleza miradi, mipango na mikakati ya matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia hasa...
  10. Akilindogosana

    Je, Rais anao mpango wowote kuhusu ajira kwa vijana au anasubiri kampeni?

    Hili janga la ukosefu wa ajira naona kama linazimwa hivi. Je, kuna mpango wowote wa kutatua? Au tusubirie saundi za kwenye kampeni.
  11. E

    Hongera ALI KAMWE Kwa Kampeni ya kumpongeza Mfugaji bora wa ligu kuu NBC

    Nianze kwa kumpongeza Bw. mdogo (Ali Kamwe) kwa kazi nzuri ya uchambuzi wa soka hasa ligi ya ndani ambayo amakekuwa akiifanya kwa usanifu wa hali ya juu kupitia kituo cha AZAM TV. Pamoja na umri wake kuwa mdogo, Bw mdogo ameonyesha sio tu ukomavu mkubwa wa akili anapochambua soka letu bali pia...
  12. Stephano Mgendanyi

    Kenani Kihongosi afungua kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani vijana kwa ajili ya kujiandaa na ushiriki wa Sensa

    KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AMEFUNGUA RASMI KAMPENI YA UHAMASISHAJI SENSA YA WATU NA MAKAZI VIJANA WATAKIWA KUWA 'MACHAMPION' WA SENSA KATIBU MKUU wa Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi amefungua rasmi kampeni ya uhamasishaji wananchi hususani...
  13. Nyankurungu2020

    Kampeni za kumchafua Hayati Magufuli zimekwama

    Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM? Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika. Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua. Hii ni ngumu...
  14. T

    Naona kampeni ya kumchafua Waziri Mkuu Majaliwa na hachafuki ng'o kwa kuwa sio fisadi

    Ni kawaida ya viongozi wakali na waadilifu kurushiwa tuhuma za kuwachafua na hili naliona kwa waziri Mkuu wetu Mhe. Majaliwa lakini ukweli ni kwamba hawezi kuchafuka kwa kuwa sio fisadi na wala hana chembechembe hizo na katika jamii yetu tuhuma za ufisadi ndio zinaweza kumchafua mtu. Kwa...
  15. mike2k

    Kenya 2022 Kwanini Rais Uhuru Kenyatta anampigia kampeni Raila Odinga?

    Naomba kueleweshwa hapa. Raila ni mpinzani wa Uhuru miaka mingi. Iweje leo Uhuru ampe support Raila?
  16. Crocodiletooth

    Chadema na kampeni yao ya Join the chain,inafikirisha.

    Joint the chain till now! •Mapato ya wachangiaji wa ndani na wenzetu wa ughaibuni. •total collected 400,000,000/- •donors, ~1,880,000.
  17. TODAYS

    Wananchi Wanapenda Mambo Kama Haya Kwenye Kampeni, Siyo Kama Yale!

    Nalipongeza jeshi la polisi nchini Kenya kwa ustaarabu wa aina hii, kuna lakujifunza kutoka kwenu sisi tukiwa kama majirani zenu. Picha inaeleza kila kitu hapo chini 👇🏾!.
  18. May Day

    Wizara ya Mazingira, NEMC, anzisheni kampeni ya kupanda miti kutumia teknolojia ya "Air Pots" kuinusuru nchi na jangwa linalotunyemelea

    Air Pots ni Vyungu (Container) maalumu vya kupandia mimea mbalimbali ambavyo huwekewa vishimo vidogovidogo kuzunguka chungu, lengo ikiwa ni kuruhusu mizizi ya mimea kuweza kutafuta mwanga na hewa. Teknolojia hii huwezesha Mmea kukua bila kipangamizi na hata kufikia ukubwa wa kutosha kama...
  19. Kindeena

    Picha: Manispaa ya Ubungo yazindua kampeni ulipaji kodi kwa hiari

  20. Analogia Malenga

    Rais Samia: Tunajiandaa na kampeni kubwa kabisa ya kutoa chanjo ya UVIKO

    Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na virusi vya corona Rais amesema hayo alipokuwa katika baraza la Eid, Dar es Salaam
Back
Top Bottom