kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Ombi: Ratiba ijayo ya Mikutano ya Kampeni za Tundu Lissu iangazie Wilaya za Rungwe na Kyela

    Nafahamu wazi kwamba muda hautoshi kwa Mh Tundu Lissu kuweza kupita kila mahali kuomba kura , lakini kuna maeneo ambayo umuhimu wa Tundu Lissu kupita ni mkubwa sana , hii ni kutokana na mvuto wake wa kisiasa na hamasa waliyonayo wananchi wa kule . Kyela ndio njia panda ya Malawi , nchi ambayo...
  2. Victoire

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu. - Elimu ya maarifa, kubadili...
  3. Analogia Malenga

    Zanzibar 2020 Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye

    Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye. Leo tarehe 08/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa hadhara kwa kuwakutanisha...
  4. The Boss

    Hawa wasanii wana enjoy kweli kuwepo kwenye kampeni?

    Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama .. Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa Wangeshiriki??.. Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa...
  5. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

    Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa. HOTUBA YA DKT. MAGUFULI ....Gonjwa hili la Corona na kilio cha Wanakenya wakiongozwa na Rais Uhuru...
  6. K

    Uchaguzi 2020 Nani ana jukumu la kulinda bendera na picha za Wagombea zisiharibiwe kipindi cha kampeni?

    Kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi- ni nani mwenye dhamana ya kulinda picha za wagombea na bendera za vyama vya siasa zisiharibiwe? Je, ipo sheria inayotamka kua kuharibu picha au bendera ni kosa? Au kila mwananchi ana Uhuru wakuondoa picha ya Mgombea na bendera asiyoitaka?
Back
Top Bottom