Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).
Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.
Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio...
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020.
Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba...
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague...
Kumekucha...kumekucha!
Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020.
Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu (CHADEMA). Kampeni za Hawa miamba 2 ndizo zinavuta Hisia, Ushawishi na Hoja zenye mashiko.
Wakti...
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi Mkoani Tabora .
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
========
Wananchi wa...
Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
TAARIFA MPYA: Mhusika Mkuu wa uharibifu uliotokea kwenye studio za prodyuza @S2kizzy ameshakamatwa na wenzake 17 wanatafutwa. Aidha, wafanyakazi wa studio hiyo waliokuwa wameshikiliwa na polisi wameachiwa. Tunaendelea kuhakikisha haki inatendeka.
msemajimkuuwaserikali
Nadhani kama kuna tukio...
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni.
Miongoni ni kukemea Dua zinazofanywa kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislam na...
Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa @ACTwazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa siku tano hadi Oktoba 20, 2020.
Chama cha Demokrasia Makini kiliwasilisha malalamiko kuwa mgombea huyo ameshawishi watu wapige kura Oktoba 27.
========
Katibu...
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.
Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.
Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na...
Katika kile kinachoonekana ni unafiki wa dhahiri wa BAKWATA, Masheikh wa BAKWATA wameanza kutumia podium mbalimbali za hadhara kumfanyia kampeni Mgombea uraisi wa CCM.
Wiki kadhaa zilizopita Sheikh wa BAKWATA wa mkoa wa Dar es salaam bwana Alhadi, alionekana kung'aka na kumshambulia Muinjilisti...
Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.
Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba...
Wakuu natanguliza salamu , pia nawaombeni radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu lukuki zinazohusu uchaguzi , muda uliobaki ni mfupi na hatuna namna zaidi ya kuvurumisha hewani taarifa za Mgombea huyu mwenye mvuto kuliko wote na ambaye ni tegemeo la wananchi .
Leo tena Mh Tundu Lissu anaendelea na...
1. Unapotaja fly over ya ubungo na Tazara ishia Dar es Salam maana Kigoma awatakuelewa.
2. Unapotaja reli ya standard Gargey ishia Dodoma, Mtwara ni vigumu kukuelewa.
3. Unapokwenda ukerewe zungumzia uvuvi na namna nyavu zilivyo chomwa Moto, usizungumzie uchumi wa Kati.
4. Ukienda Mtwara...
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.
Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.