kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Mystery

    Uchaguzi 2020 Hivi Rais Magufuli kuamua kutoa ahadi ya kutuongezea mishahara wafanyakazi wa nchi hii wakati huu wa kampeni, haoni kuwa ndiyo anaharibu zaidi?

    Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa. Tujikumbushe maneno ambayo amewahi kuyatamka katika utawala wake wa kipindi hiki cha miaka 5. Ati sisi wananchi hatuna uwezo wa kumpangia la...
  2. ACT Wazalendo

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Maalim Seif anafunga Kampeni zake leo

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad hivi sasa yuko katika Kiwanja cha Mnazi Mmoja Unguja kuhitimisha Kampeni zake za kuelekea Ikulu. Maalim Seif akiingia Kiwanja cha Mnazi Mmoja Wanawake hawako nyuma katika shughuli ya kumpeleka Maalim Seif Ikulu...
  3. Erythrocyte

    Zanzibar 2020 Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

    Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze . Ushahidi huu hapa
  4. Analogia Malenga

    Uchaguzi 2020 Mkutano wa Kampeni wa Dkt. Magufuli - Babati

    Mgombea urais kwa tiketi CCM, Dkt. Magufuli yuko mkoani Manyara akiendelea na mkutano wa kampeni Alipokuwa Minjingu akielekea Babati amekataa kuingilia Uhuru wa mahakama baada ya mama mmoja aliyedai kudhurumiwa mali zake ambaye uamuzi ulitolewa mahakamani kuomba kusaidiwa, aidha amemshauri...
  5. kagoshima

    Uchaguzi 2020 Kampeni zinaenda kuisha. Sijasikia neno "haki" na "uhuru wa watu" likitamkwa na mgombea Urais CCM

    Ni jambo la kushangaza sana kwangu. Sijasikia popote akilaumu uvunjwaji wa haki za watu yanayofanywa na vikundi vya watu wasiojulikana. Sijamsikia akikemea unambikiaji watu kesi kwa mashitaka ya uongo Sijamsikia akikemea manyanyaso kwa waandishi wa habari hata kuonesha sympathy ya wandishi...
  6. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

    Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu . Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa...
  7. MUSIGAJI

    Uchaguzi 2020 ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

    Wanabodi habari ya majukumu? Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano? ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
  8. Webabu

    Uchaguzi 2020 Wasanii wameharibu sana kampeni za CCM, Wiki ya mwisho kuelekea uchaguzi inatia huzuni

    Nimerudi safari na kupiga kambi kwenye jimbo langu la uchaguzi. Mambo niliyoshuhudia wiki hii ya mwisho hayakufikirika miaka ya nyuma na hata mwanzoni mwa kampeni za mwaka huu. Vile vijembe vya CCM kwa nyimbo za John Komba vimebadilika sana. Nimehudhuria mikutano kadhaa ya kampeni ya vyama...
  9. Cannabis

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

    Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara...
  10. K

    Uchaguzi 2020 Kwa mara ya kwanza CCM wamefanya kampeni kinyonge na bila agenda za chama bali agenda za mtu mmoja

    CCM mwaka huu wameonyesha walilala zaidi ya wapinzani kipindi chote siasa zilipokatazwa. Awakujipanga kuanzia juu Hadi kwenye tawi na kibaya zaidi hata UCHAGUZI wa serikali ya mtaa awakufanya bali waliteuana na walioteuliwa awakuwa chaguo la wananchi hivyo walijitengenezea kukataliwa toka ngazi...
  11. JET SALLI

    Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili

    Sasa katika wakati kama huu utaona wanaojiita wasomi,watumishi,wakulima,na watu wengine ktk jamii wako ktk kampeni wanashangilia wagombea na hawawachiju ili kujua nani anaweza kuwa anaongea ukweli ,na kwa sababu ukweli haudanganyi na unabaki kuwa ukweli tu.Ndio maana ukisema mtu huyu ana Elimu...
  12. mugah di matheo

    U-turn ya ITV kwenye uchaguzi huu inatokana na nini?

    ITV ndio ulikuwa TV pekee inayotoa taarifa za mikutano yote ya kampeni kwa uhalisia na uwazi lakini jana, leo na siku moja huko nyuma waliacha kutoa taarifa za mikutano ya Lissu kwanini? Tuliona hivyo Lissu alivyokuwa Chato, Pemba na leo Kusini. Tujadiliane nini haswa kwa mabadiliko haya?
  13. K

    Uchaguzi 2020 Ni sahihi Mgombea kuendelea kuzindua miradi wakati wa kampeni?

    Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kufanya shughuli za serikali wakati wa kampeni? Je, sheria inakubali au hakuna mwenye uthubutu kukemea? Sheria inasemaje kuhusu ahadi ya ajira? Hii siyo rushwa ya UCHAGUZI? Tunavyofahamu ajira nimchakato wa kiutumishi na lazima ziwe kwenye bajeti...
  14. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

    Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi. Endelea kubaki...
  15. Mystery

    Uchaguzi 2020 Hivi Bunge lina kazi gani kama kila anapokwenda kwenye kampeni, Rais Magufuli ndiye anayeahidi kujenga miradi mbalimbali?

    Tunavyofahamu katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977. inaeleza wazi majukumu ya kila mhimili wa Dola, ikiwa Bunge ndilo lililopewa jukumu la kupanga bajeti na kupanga miradi hiyo ipelekwe wapi. Lakini nashangazwa mno na namna Katiba ya nchi inavyosiginwa siginwa, kwa Rais...
  16. dubu

    Uchaguzi 2020 Arusha: Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, yashiriki kualika watu kwenye Mikutano ya Kampeni ya CCM

    Wakuu, hii kikatiba imekaaje?
  17. B

    Uchaguzi 2020 Ushauri kwa vyama vyote kuelekea ukingoni mwa uchaguzi: Tupande Uhuru na Haki tukavune Amani na Mshikamano kwa taifa letu

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Hapa ni ushauri wa bure kwao vyama vyote watia nia kuelekea lala salama katika uchaguzi huu. Zimekuwapo changamoto nyingi katika kufikisha ujumbe kwa wapiga kura. Pana vyama waziwazi vimekuwa vikibebwa na vyombo vya habari (vya umma na hata vya binafsi hali...
  18. MK254

    Mfahamu Mkenya anayeendesha kampeni za mgombea urais Marekani, bwana Biden

    Wadhifa wake "Director of Special Projects in Biden's 2020 campaign" Democratic party presidential nominee Joe Biden and Director of Special Projects Esther Ongeri TWITTER A Kenyan woman, Esther Ongeri, is among a team of staff working with Democratic Party candidate Joe Biden in the US...
  19. Mzalendo2015

    Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

    Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe. Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna alichochangia katika maendeleo ya wana Hai. Kwamba Mbowe alikuwa akitoka nje wakti wa Bajeti na alikuwa...
  20. Cannabis

    Uchaguzi 2020 Ndugu Polepole ahadi ni deni tupo ndani ya siku saba za mwisho katika kampeni

    Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7 za mwisho za kampeni. Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha ahadi yako hii, japokuwa una kazi...
Back
Top Bottom