kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. DR Congo: Kampeni ya utoaji chanjo dhidi ya Ebola yaanza

    Mamlaka za Afya Mashariki mwa Taifa hilo zimeaza kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Ebola baada ya kifo cha Mtoto wa miaka miwili kuibua hofu ya kutokea Mlipuko mwingine mkubwa. Watumishi wa Afya wanawafuatilia watu zaidi ya 170 na Dozi 200 za Chanjo tayari zimetumwa katika Mji wa Beni ambapo Mtoto...
  2. Zambia: Mwanamuziki Slapdee ajitoa tuzo za AFRIMMA baada ya kushambuliwa kwa kupigia kampeni chama tawala

    Picha: Mwila Musonda (Slapdee) Mwanamuziki Mwila Musonda maarufu kama Slapdee amejiondoa kwenye kuwania Tuzo baada ya kushambuliwa mtandaoni kwa kusherehesha shughuli za kilichokuwa Chama Tawala cha Nchi hiyo, Patriotic Front. Slapdee ambaye awali alijitetea kuwa alitumbuiza kama sehemu ya...
  3. #COVID19 Serikali yakanusha kuwepo upendeleo au rushwa kwenye kampeni ya kuhamasisha chanjo

    Wizara ya Afya imekanusha tuhuma za upendeleo au rushwa katika Zabuni ya Kampeni ya kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo ya COVID-19 iliyotangazwa Septemba 29, 2021 Imesema kazi hiyo ilifanyika kwa dharura kutokana na umuhimu wa haraka ya Elimu ya chanjo ili kuepusha uwezekano wa chanjo kuchina
  4. Naona kampeni zimeanza,lakini zimeruhusiwa kwa upande mmoja

    "Mh. Rais Samia kama ambavyo nawasikia Viongozi wa CCM kwamba toka umeingia madarakani wana kauli yao wanasema umeupiga mwingi, kazi nzuri unayofanya Watanzania wanaiona tuna matumaini makubwa na tutaendelea kuhakikisha kwamba malengo yako yanafika hadi vijijini" "Umeanza vizuri unaendelea...
  5. #COVID19 Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo 10 Oktoba 2021. Fuatilia matangazo hapa Dondoo ujio wa...
  6. Kampeni Ushetu; Baadhi ya nukuu za Katibu wa NEC itikadi na uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

    NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA-KAMPENI USHETU. "Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikiziwa kesi za kukamatwa na bangi vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitoa doa jeshi letu...
  7. K

    Kampeni za Urais, ubunge na Udiwani 2025 kwanini zimeanza kabla hata mwaka haujaisha? Lini tutawaza kuhusu waliowapa kura?

    Kuna Vita kubwa ndani ya chama cha Mapinduzi kuhusu uchaguzi wa 2025, Vita hii imekuwa kali ikamfanya Mhe. Rais kutangaza nia mapema. Baada ya kutangaza nia mapambano yamekuwa makali kwenye majimbo na kata kundi la utawala uliopo likitaka kuwaondoa waliowekwa na utawala uliopita. Huko Mbeya/...
  8. Kwa kampeni yenu hii, mtawatoa wote lakini hamtaweza kuyafuta waliyoyafanya

    Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa! Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya...
  9. #COVID19 Rais Samia: Nimeona Afisa Afya Tunduru akipita nyumba kwa nyumba kuchanja, suala hili lisifanyike kwa mabavu

    Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya. Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe kwenye mambo mengine ya msingi. Mama wanaomshauri wanamponza Sana. --- Rais Samia Suluhu...
  10. Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

    Baada ya Rais Samia leo kuweka bayana kuwa atajitosa kuwania urais mwaka 2025 ni dhahiri sasa mpambano wa kuwania kiti hicho utakuwa kati yake na makamu mwenyekiti wa Chadema aliyekimbilia Ubelgiji Tundu Lissu. Kuanzia sasa wananchi wataanza kuwachekecha kwenye chujio kali la nani anafaa zaidi...
  11. S

    Royal Tour inaweza kugeuka kashifa kwa Rais Samia itayotumiwa na wapinzani kwenye kampeni za 2025 panapo Tume Huru ya Uchunguzi

    Nia na dhamira inaweza ya kufanya hii tour inaweza kuwa ni nzuri, ila sidhani kama wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu namna sahihi ya kuitengeneza/kuifanya ili kupata matokeo mazuri. Aina ya washiriki ndio wanaoweza kuifanya hii tour ilete matokeo chanya, na wanaoshiriki akiwemo Rais Samia...
  12. Bavicha kushiriki Kampeni ya usafi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara tarehe 4/9/2021

    Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama . Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi...
  13. #COVID19 Baada ya kampeni ya chanjo za COVID-19 kudoda, Askofu Gwajima kuwa mbuzi wa kafara?

    Kinachoendelea serikalini na bungeni ni kutafuta mbuzi wa kafara baada ya “utapeli” wa serikali kuhusu chanjo za korona kushtukiwa na wananchi wengi nchini. Fikiria chanjo za watu milioni moja ambazo serikali ilipokea kama “msaada” kutoka Marekani mpaka sasa zaidi ya nusu yake bado ziko kwenye...
  14. N

    #COVID19 Waziri Gwajima Achana na mambo ya chanjo, Serikali nzima imekuangushia mzigo peke yako

    Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe. JPM kafariki Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
  15. Q

    Uzinduzi rasmi wa kampeni ya Wananchi na Katiba ‘WAKA’ kufanyika tarehe 28/8/2021 jijini Dar es Salaam

    UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021 WAKA Wananchi&Katiba Dar es salaam., Tanzania 9 JUL 2021 — Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi na Katiba) utafanyika tarehe 28/08/2021 ukumbi wa LAMADA HOTEL, ILALA - DAR ES SALAAM kuanzia saa 2...
  16. J

    #COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

    Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona Askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho. Prof Yunus Mgaya amesema chanjo ya Johnson & Johson inaweza kuwaathiri watu 4 tu...
  17. Mwigulu aanza tena kampeni zilizomfukuzisha uwaziri awamu ya 5

    Yani huyu waziri bwana, sijui huwa anafanya maigizo ili kumfanya nani mjinga! Alipokuwa waziri wa kilimo alikutana na watu waliozuia msafara wake huko Iringa wakimsifu. Ila kwa kuwa Magufuli hakutaka hivyo akamuonya akamuhamisha na wizara. Alipoenda mambo ya ndani napo akawa vile vile na...
  18. K

    Watu walisema mkaon Bony Mwaitege anatrend na wimbo wa kampeni " nina imani na Mwigulu" . Kwanini leo?

    Bony Mwaitege ni mwombaji wa nyimbo za injili lakini ni rafiki wa karibu sana wa Mwigulu Nchemba. Katika kipindi hiki Cha mawimbi makali yanayomwelemea Mwigulu kuna mzunguko wa wimbo unaosema "Tuna imani nawe Mwigulu". Haya siyo makaosa au bahati mbaya kusikia kibao hiki leo, ni ishara kwamba...
  19. Kampeni yetu kwa Ajili ya Rais Samia isimdhalilishe na kutudhalilisha sisi pia. Tanzania Kwanza

    Tukiwa maeneo yetu tunaambiana kuwa tusikosoe awamu hii kwa sababu ni awamu ya... 1. Dini yetu 2. Jinsia yetu 3. Kabila letu 4. Asili yetu. Hapana. Mimi sikuwa nampinga Hayati Magufuli kwa sababu ya Dini yake. Mimi Dini yake inanihusu nini? Mimi nlishambulia matendo hatarishi. Lakini nlisifia...
  20. Kiongozi anayeshutumiwa kufanya kampeni ya kujitenga jimbo la Nigeria akamatwa

    Kiongozi wa anayepigania kujitenga kwa kabila la Yoruba Sunday Adeyemo, al maarufu kama Sunday Igboho, amekamatwa katika nchi jirani yaBenin, wiki kadhaa baada ya kutangazwa kuwa anasakwa kwa madai ya kukusanya silaha. Bw Igboho alikamatwa na vikosi vya uslama katika uwanja wa ndege wa mji mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…