kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Shujaa Mwendazake

    Jimboni Konde: Vipi hili la Mkuu wa mkoa kumpigia kampeni mgombea Ubunge

    Halihitaji Maelezo , Swali langu hili limekaaje kikatiba au kisheria?? Kama si sahihi , je ni Kweli Dk Mwinyi ni Mam Samia wana nia ya kuheshimu katiba, sheria na kanuni hapa nchini?
  2. kimsboy

    Kuna haja ya kuanzisha kampeni ya kususia miamala?

    Wadau mnaonaje tukaanza kampeni ya kususia kufanya miamala kwasababu ya gharama kupanda?
  3. Kijogoodi

    IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

    Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo. Sirro amesema...
  4. Red Giant

    Nchi hii shule za A level ni chache sana. Kuwe na kampeni ya kujenga shule hizo

    Nimeangalia matokeo ya form six nimeshangaa kuona idadi ya shule za A level ni 610 tu nchi nzima. Kama nakumbuka vizuri, shule za O level zaidi ya 3,000. Na nyingi ya hizo shule za A level zinawanafunzi wa Olevel pia, hivyo siyo kuwa shule yote inatumika kufundisha A level. Kwa data hizo...
  5. N

    Wizara ya Afya waanza kampeni ya kumsafisha Hayati Magufuli

    Maneno aliyokua anayaongea hayati na kuwakalilisha wananchi wake, sasa imekua ngumu kwa Wananchi kuelewa kila ukiwaambia kitu utasikia Mbn Magufuli alisema hivi, mbn Magufuli alisema vile! Wananchi wamekua wagumu kuvaa Barakoa Hongera Wizara ya Afya kwa kutoa Elimu Mujarab
  6. P

    Hayati Magufuli ameacha legacy ya kuthubutu kufanya kitu bila ya kuomba ruhusa kwanza kwa mfadhili yeyote

    Viongozi wa kisiasa wana kazi ngumu sana. Kutakiwa kumridhisha kila wanayemuongoza kwa kadri ya uwezo binafsi, ni mtihani mgumu. Ni vigumu kwa kila anayeongozwa na kiongozi fulani kuwa na mtazamo ule ule kama wa mtu mwingine. Naamini kabisa kwamba hayati John Magufuli hakuwa na sifa ya kiongozi...
  7. B

    Kwa kinachoendelea nchini Tuanze tu kampeni ya kuboresha Magereza vinginevyo tuwe na katiba mpya

    Hii nchi wote sisi ni wafungwa au mahabusu watarajiwa, tusipojiandaa kuishi vyema mahabusu tukadhani tupo salama tutaingizwa huko na patakua si sehemu salama kiafya na kimalazi kukaa. Nchi za wenzetu wameboresha Magereza maana wanajua upo uwezekano bila hatia ukahama nyumbani kwako na kwenda...
  8. K

    Kampeni ya kum-disqualify Diamond Platnumz BET Awards, tunahitaji mrejesho

    Habari wakuu, Siku kadhaa zimepita tangu watu wanaojiita wanaharakati wa mitandao kuwaongoza wananchi kuandaa na kusaini petition yenye lengo la kumdisqualify Diamond platnumz kushiriki tuzo za BET kwa mwaka huu 2021. Wanaharakati hao waliongoza huko Twitter chini ya Kigogo na Maria Sarungi...
  9. fasiliteta

    Hivi kampeni ya CHADEMA kututoa line za Vodacom iliishiaga wapi?

    Jamaa wanaongozwaga na emotional mbaya sana. Kina Lema na viongozi wake walianzishaga hii kampeni, cha ajabu haijulikani iliishiaga wapi. CHADEMA kuna umber la viongozi sanaaaa,ni kama kichaka chaajizi, manyang'anyi,watu wa visasi, CHUKI, hilba na kukata Tamaaa Sanaa. CHADEMA wanahitaji...
  10. Keynez

    Kampeni za uchaguzi wa urais za Tundu Lissu ya 2020 zitakumbukwa kwa vizazi vingi vijavyo

    Moja ya matukio makubwa yaliyowahi kutokea Tanzania ambayo vizazi vijavyo vitarudi na kuvitafakari itakuwa ni kampeni za uchaguzi wa Urais wa 2020 wa mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu. Ni kampeni iliyokuwa umegubikwa na sintofahamu nyingi, ni uchaguzi ambao ulikuwa na mchanganyiko wa...
  11. J

    Kwanini Tundu Lissu alikuwa anapata watu wengi kwenye mikutano yake ya kampeni hasa mikoani?

    Hili swali unaweza kulidharau lakini ni la msingi sana hasa kwa sisi wana CCM kindakindaki. Ni nini hasa kiliwavuta watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu? Je, ni huruma sababu alipigwa risasi nyingi? Je, ni uwezo wake wa kutoa uongozi? Je, ni mapenzi ya wananchi kwa Chadema? Au ni watanzania...
  12. J

    Kampeni Kigoma ni shwari kabisa hakuna malalamiko labda kwa vile Chadema hawashiriki!

    Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana. Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo wao CCM inapeta tu kama kumsukuma mlevi wa mataputapu.. Eid Mubarak!
  13. Nigrastratatract nerve

    kampeni za lala salama mhambwe wabunge wa CCM waweka kambi

    #MUHAMBWE KIGOMA Baadhi ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamewasili Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma kwa ajili ya kufanya kampeni kwa wagombea Chama Cha Mapinduzi katika majimbo yote mawili ya Muhambwe na Buhigwe Wabunge hao ni Mheshimiwa Asia Alamga pamoja na Ng'wasi Kamani...
  14. J

    Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake. Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa? Yohana nauliza kwanini Freeman...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Makamanda shime twendeni Muhambwe tukaipigie kampeni CCM kwa sasa inatufaa

    Makamanda wenzangu twendeni Muhambwe tukajazane majukwaani tuhakikishe CCM inashinda kwa kishindo kikuu. CCM ya sasa imebadilika ndio tuliokuwa tunaitaka. CCM ya sasa inatoa uhuru wa kujieleza. CCM ya sasa haina watekaji. Haina mafisadi Hii ndio tuliokuwa tunaitaka. Shime makamanda wa kike na...
  16. Matope

    CCM kuzindua rasmi kampeni jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma - Twende na Dkt. Florence Samizi

    Haya haya kumekucha Jimbo la Muhambwe Kigoma Kampeni rasmi kuzinduliwa za CCM kesho na Mlezi wa Mkoa Mh Kassim Majaliwa mambo ni moto. Mji wa kibondo umependeza kwa rangi ya kijani kila mtaa. Wana Tot kutoka makao makuu wameshafika wakiwa na Loli kubwaaaa kama treni. Kiufupi kesho ccm...
  17. Analogia Malenga

    Wanaharakati Myanmar waitisha kampeni mpya dhidi ya Jeshi

    Wanaharakati wanaopinga utawala wa kijeshi nchini Myanmar wamewataka watu kuacha kulipa bili za umeme na mikopo ya kilimo, na kutowapeleka watoto shuleni, wakipinga ahadi ya kiongozi wa kijeshi ya kukomesha mzozo. Maandamano ya hapa na pale yalifayika katika miji mikubwa nchini Myanmar jana...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Kumbukizi: Kauli ya Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni 2020

    Kauli hii ilitolewa na Mh. Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba 2020
  19. J

    RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete. Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako...
  20. AbuuMaryam

    Dkt. Hassan Abassi: Agizo la Rais Samia kufungulia vyombo vya habari linahusu televisheni za mitandaoni pekee

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. --- Huyu ni kichwa...
Back
Top Bottom