kampuni za kichina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya TTP yagundua makumi ya VPN kwenye Apple na Google Store yanayomilikiwa kwa siri na kampuni za Kichina – Hatari kwa Faragha na Usalama USA

    Katika uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na kampuni ya Top10VPN Threat Prevention Team (TTP), imebainika kuwa zaidi ya dozens ya VPN apps (programu za mitandao binafsi ya faragha) zinazopatikana kwenye Apple App Store na Google Play Store zinamilikiwa kwa siri na makampuni ya Kichina, licha...
  2. JamiiForums Tanzania TV Gani ni nzuri asa hizi kampuni za kichina

    Wakuu naitaji TV 32inch, sahivi kuna kampuni nyingi sana za TV ,hasa hizi made in china. Je kampuni gani nzuri ya TV Kwa hizi made in china? Ushauri tafadhari
  3. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa serikali kulazimisha kampuni za Kichina za kuunda mabasi kufunga viwanda vya kuunda mabasi hapa nchini

    Yutong, Zhongtong NK walazimishwe wafungue viwanda vya kufanya assembling ya mabasi yao hapa nchini. Hii itasaidia sana kuongeza ajira, kukuza welewa, na kujenga uzoefu kwa mafundi wetu wa ndani. Otherwise serikali itoe motisha kwa makampuni ya kizawa yanayozalisha mabodi ya basi ili...
  4. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi AMSONS: Kampuni za Kichina ni tishio Afrika Mashariki

    Kampuni kubwa za Kichina zinazojihusisha na uzalishaji wa saruji zimeibuka kuwa tishio kubwa kwa wazalishaji wa ndani katika Afrika Mashariki. Kwa kutumia mitaji mikubwa na mbinu za ushindani wa bei, kampuni hizo zinaelezwa kupunguza nafasi ya kampuni za ndani kukua na kuhimili ushindani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…