TV Gani ni nzuri asa hizi kampuni za kichina

Kampuni bora ya kichina ni TCL, ukishindwa chukua Hisense.

Kampuni bora za TV Duniani ni Sony, Samsung na LG. Hizi ni High End.

Budget ama midrange ni hizo za kichina TCL, Hisense na nyingine.

Kila kitu kina mwanzo. Nilianza maisha ya tv ya kichina ya Star (sijui kama ndio jina lake ama nimekosea maana ni miaka mingi kidogo).

Pambana one day utasukuma Sony inchi 85 sebuleni kwako kiongozi.

Kila la heri kiongozi.
 
Umempa good advice
 
Back
Top Bottom