kanali michael randrianirina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kanali Michael Randrianirina aapishwa rasmi kuwa Rais wa Madagascar

    Kanali wa jeshi Michael Randrianirina ameapishwa kuwa Rais mpya wa Madagascar leo Oktoba 17, 2025 kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea kwa kasi na kumng’oa madarakani Rais Andry Rajoelina, ambaye kwa sasa ameripotiwa kutoroka nchini na kujificha Randrianirina, ambaye alikuwa kamanda wa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kijeshi Madagascar, Kanali Michael Randrianirina kuapishwa kesho Oktoba 17, 2025

    Kiongozi mpya wa kijeshi wa Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa taifa hilo siku ya Ijumaa, Oktoba 17, 2025, licha ya upinzani kutoka kwa Umoja wa Afrika (AU), uliosimamisha uanachama wa nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyomng’oa madarakani Rais...
Back
Top Bottom