Kuna kiongozi wa CHADEMA amewahi kusema bungeni juu ya mwenendo wa kushughulikia mambo ya wizara ya uvuvi kwa operations. Pamoja na waziri Mpina kuitetea wizara yake, kumbukumbu yangu inaonesha hakuna operation ambayo imewahi kufanikiwa bila matatizo kwa wananchi, bahati mbaya wanaoendesha...
Awali ya yote, niipongeze TAKUKURU kwa namna wanavyoshughulikia wezi wa fedha na mali za vyama vya ushirika. Nimeona kule Kusini hasa zao la Korosho, wezi wakiamriwa kurejesha mamilioni ya fedha, Tabora nako nimeona.
Kwa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, kuna Vyama viwili vya SHIRECU (Shinyanga) na...
Sababu kubwa inayopelekea ungezeko la akili kwa watu wa kanda ya ziwa ni kutokana na ulaji mwingi wa SAMAKI.
Tuanzie hapa..
KWANINI SAMAKI?
Uchunguzi wa kisayansi uliofanyika unatujuza kuwa, Samaki wana asili ya mafuta (unsaturated fats) kwenye miili yao inayoundwa na kemikali ziitwazo...
Wakati mwingine watu wanasema kiutani lakini tunaomba kanda ya ziwa wabadilishe tabia zao ambazo si za maendeleo. Utamaduni wa uchawi na ndoa za utototoni zinarudisha sana maendeleo ya sehemu ambayo ina watu wengi, madini, ziwa na nafasi za kulima mazao mengi. Mkienda vijijini waelezeni wazee...
Nimefanya utafiti mdogo kwa siku za karibuni nikagundua hilo. Television zinazoongoza ni TBC 1, Chanel Ten, ITV, na Star Tv.
Hii ni hususan katika vipindi vya Taarifa za habari na makala maalumu za kiuchunguzi au Maendeleo.
Mfano: Inarushwa habari ya Masasi, inafuatia ya Songwe, Chato au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.