Kwa wateja walio na mabucha mikoani na wenye supermarket ninauza samaki aina ya sato na sangara kutoka ziwa Victoria kuanzia kg. 100 nakuendelea ninakutumia popote ulipo usafiri juu yangu.
Sato kg. 1 @ tsh. 8000
Sangara kg. 1 @ tsh. 7000
Lakini pia napokea order kwa samaki aina ya kamongo na...
Nianze moja kwa moja kutoa maoni yangu kwa hali ya kisiasa nayoiona. Kifo cha Rais Magufuli kimeacha pengo kubwa sana kwenye taifa. Kwa wale wasiopenda kusikia jina la magufuli niseme tu, Hayati alikuwa na wafuasi wengi kifo chake kimedhihirisha hivyo na atakumbukwa siku zote kwa mambo mazuri...
Baada ya kufariki kwa Rais Magufuli sioni ni kwa jinsi gani wakazi wa Kanda hiyo wataendelea kukiunga mkono hiki chama hasa kwa sababu kuu zipatazo tatu kama ifuatavyo.
Mosi: Uungwaji mkono kwa CCM katika Kanda ya Ziwa haukujengwa katika hoja bali ulijengwa katika ushabiki ukanda na ukabila...
Tumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.
Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.
RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeondoa marufuku ya uuzaji na ulaji wa nyama ya Nguruwe katika Wilaya sita za Kanda ya Ziwa ambazo zilikumbwa na Homa ya Nguruwe (ASF) mwezi mmoja uliopita.
Prof Hezron Nonga, Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo, amesema ASF imeondoka katika Wilaya hizo lakini Wilaya ya...
Na kinachonishangaza zaidi Joni ni mkubwa Kiumri na hata Kipesa kuliko Huseni ila cha Kushangaza ni Siku chache sana tu Huseni wa Visiwani Zanzibar kapanda Cheo cha Kusimamia Karafuu za Zanzibar huku akitanguliwa Siku nyingi na Joni ambaye ana Cheo cha Kusimamia Samaki zote za Kanda ya Ziwa ila...
Mimi ni mwekezaji katika sekta ya utalii kanda ya ziwa lakini jambo linalokatisha tamaa ni kuwa ukanda huu pamoja kuwa na Hifadhi za Taifa za Burigi Chato, Serengeti, Sanane, Rubondo Kimisi, Rumanyika lakini hakuna jengo na raslimali watu inayoakisi nia ya serikali kuendeleza utalii wa kanda...
Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.
Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam.
===
MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
Kwenye uchaguzi mkuu uliopita wa 2015 CCM ilipata kura 8,882,935 za urais, karibu nusu ya kura zote zilitoka kanda ya Ziwa na kanda ya Kati.
CCM ilipata kura 3,638,623 kutoka mikoa 9 tu ya Dodoma, Singida, Tabora, Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kagera na Shinyanga, huku CHADEMA ikiambulia kura...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
care
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kandayaziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu
Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
Nianze kwa kusema, wote tunajua strategy ya ushindi wa Magufuli toka uchaguzi wa 2015 na hata uchaguzi huu wa 2020 imejikita kuhakikisha anazoa kura za kutosha kutoka kwa Wasukuma.
Natambua huko Kanda ya Ziwa kunajumusha pia mikoa ya Kagera na Mara ambako nadhani Lissu anaenda kufanya vizuri...
Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila huruma na akatishwa asirudi nchini , bali pamoja na lundo la vitisho Lissu amerudi nyumbani kishujaa...
Nimemsikia Mgombea wa CCM akinadi sera zake na kuahidi kuwa serikali inao mpango kabambe ya kubadili ukanda wa ziwa kuwa wa kiutalii ili kuiongezea Serikali mapato nikafurahi sana kama mwananchi. Ni wakati mwafaka sasa kusambaza utalii kanda ya magharibi na kusini ili kutekeleza Master Plan ya...
Dr Magufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi.
Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato...
Ni kama ambavyo wakati wote nimesisitiza kuwa Uchaguzi ni maarifa, mipango na akili, hakuna kitu kina guarantee ushindi katika mpambano wa kisiasa kama kuchanga karata zako vyema, na kwa kuitazama CCM chama changu, ni wazi kuwa Viongozi wake na Mgombea mwenyewe amejipanga vyema sana. Leo...
Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc
Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake.
Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri...
Katika utafiti ambao hivi karibuni utachapishwa mitandaoni kutoka taasisi moja ya utafiti unaonyesha kua wanawake wengi wanasema kua wanaume kutoka kanda ya ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga kuliko wanaume wote Ukanda wa Afrika Mashariki na kati.
Wanawake walipoulzwa ni makabila gani hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.