Wakuu hili swali nauliza kwa wema kabisa.
Kuna kiwango kukubwa cha wagonjwa wa Cancer kwa upande wa kando kando ya Ziwa Victoria kuliko maeneo mengine nchini.
Mtakumbuka hata Mama Samia alieleza nia ya Serikali kujenga kituo kikubwa Mwanza chenye kutoa matibabu ya Cancer
Sasa najiuliza:
1...
Ankali, Paskal Mayala kuna mjadala mkubwa wa kitaifa unaoendelea humu kuhusu Waziri wa Nishati, Januari Makamba mbona hufanyi uchambuzi wako juu ya yanayoendelea.
Umeaacha wadau wengine humu na Global Tv peke yao Why?
Nimefuatilia biashara anayoifanya Makamba kanda ya ziwa, kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi na sijatambua kama biashara hiyo ni endelevu.
Iwapo mitungi hiyo gesi itaisha ni nini hatma ya mradi huo?
Je, mitungi anayoigawa fedha ni kodi ya wananchi au ni fedha za CCM?
Je, Makamba ametumwa au...
Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia.
Mtaruka ruka wee na majiko ya gesi ya bure mnayodanganyishia Watanzania.
Lakini Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imepanda Bei!!!
Hata hivo, Chuma aliwakataa, mkamwondoa, lakini kwa kuwa Mwenye njozi hafi, licha ya kumwondoa...
Tafiti zimeonesha mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya ukatili miongoni mwa wenza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa uhuru wa kiuchumi kwa wanawake na malezi.
Mikoa iliyotajwa kuathirika zaidi na ukatili ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita wakati iliyotajwa kuwa...
Takwimu za Dunia za mwaka 2018 za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha Wanawake zaidi ya 570,000 waligundulika kuwa na Saratani ya Shingo ya Kizazi,
Kwa mujibu wa tovuti ya cancer.net ni kuwa kwa mwaka 2020 kulikuwa na Wanawake 604,127 ambayo walikuwa wameathiriwa na ugonjwa huo.
Kwa...
Hello great thinkers...
Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.
Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.
Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)
Mimi naona...
Nimekucheki unaongea pumba mbele ya mkuu wa nchi. Wewe ni unajifanya hujui kusema kweli? Kwa nini usikae kimya.
Unaona kabisa deamenor ya mkuu wa kaya hapo Bukoba hainyonyeshi kuwa anakubalika kanda ya ziwa alafu unaweka uongo wa kumpamba.
1. Hapo miaka ya mwanzoni mwa miaka ya 2000 matukio ya vifo vya albino
2. Mauaji holela ya watu huko tarime mara
3. Mauaji ya vikongwe wenye macho mekundu Kwa kisingizio eti ni wachawi shinyanga na mikoa jirani
4. Ukatili wa kijinsia huko,tazama kielelezo hapo chini.
5. Matukio ya ujambazi
6...
Kwema Wakuu!
Tangu napata Akili nikiwa sekondari nasikia matukio ya kikatili yanayotokea huko Kwa Ndugu zetu wa Kanda ya ziwa, mpaka nafika chuo na sasa nimekuwa mtu mzima bado nasikia matukio ya kikatili huko kanda ya ziwa.
Haiwezi kuisha siku mbili bila kusikia matukio ya kikatili kutokea...
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau...
Ni muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya Ziwa watapata maendeleo makubwa sana kama wakiachwa wajitawale wenyewe kama vile Zanzibar.
Watu wa...
Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo.
Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha.
Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie simu atakupa majibu ya balaa la Diamond ni mji umesimama.
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.
Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇
Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao.
Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina. TAKUKURU...
Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake"
Mbunge huyo wa Sumve amesema "Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji...
NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama.
2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa...
MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA
Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022:
"Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
Tuzo ya Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa
Kutoka kwa Waandishi wetu Mwanza;
Leo ni siku nyingine tena ambayo ni msimu wa pili wa tuzo hizi kubwa kanda ya ziwa ambapo tutashuhudia Tuzo zikitolewa kutambua michango mbalimbali ya wanawake Vinara Kanda ya Ziwa, waliogusa jamii kwa namna mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.