kanda ya ziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Watu wa kanda ya ziwa ni warefu sababu ya kula dagaa

    Habarini. Dagaa ni chakula kimoja kinadharaurika sana na kuonekana cha kimasikini, lakini ni moja ya vyakula bora kabisa duniani. Ni hivi, mifupa ya mtu hujengwa kwa sehemu kubwa kwa Calcium. Sasa, ukiondoa maziwa, chakula kinachofuatia kwa kuwa na calcium kwa wingi ni samaki wanaoliwa na...
  2. Venus Star

    Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

    Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana. Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang. Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka...
  3. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA tulishapoteza mvuto na nguvu Mwanza na Kanda ya Ziwa. Kuzindua mikutano Kanda ya Mwanza haisaidii

    Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika. Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena. Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
  4. Tajiri wa kusini

    Tunamshukuru sana Mungu Dar es Salaam haipo Kanda ya Kaskazini au kanda ya ziwa

    Tunamshukuru sana mungu mzizima haipo kanda ya kaskazini au kanda ya ziwa kwa hakika kama ingekuwa katika kanda hizo bila shaka wananchi wa mikoa mingine wasingeweza hata kukaribia au kunusa tu ila mungu kwa ufundi na busara hatimaye Dare Ssalaam ipo hapo ilipo. Wenyeji wa mzizima kwa hakika si...
  5. ichumu lya

    Kanda ya Ziwa Kitovu cha Ukombozi wa Nchi Hii

    Ukombozi wa nchi hii utatokea Kanda ya ziwa muda na wakati wa ukombozi wa Taifa hili ni sasa kwakutambua hilo Chama kikuu cha siasa nchini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tayari kinaandaa mkutano wa ufunguzi tangu marehemu alipobaka Katiba kwa kuweka zuio haramu zuio lililokinzana na...
  6. peno hasegawa

    January Makamba, miradi ya umeme yenye dhamani ya 57 Bilioni imekwama kanda ya ziwa au hujawalipa wakandarasi?

    Kuna shida inayoendelea kunyemelea uongozi wa awamu ya 6. January Makamba, waziri wa Nishati alipita mikoa ya kanda ya ziwa na kusema ametuma fedha za miradi ya umeme takribani 57 Bilioni. Cha kushangaza na kusikitisha hakuna mkandarasi site mikoa yote ya kanda ya ziwa na wanaccm wanasubiri...
  7. F

    Shule za msingi kanda ya Ziwa zaibuka kidedea wa udanganyifu wa mitihani. Mwanza na Bukoba waongoza

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022. Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
  8. peno hasegawa

    Joseph Musukuma wananchi wa mkoa wa Geita hawakuelewi, pia kubaliana na kauli ya Dkt. Bashiru Ally Kakurwa

    Kwa mateso wanayoyapata wananchi wa kanda ya ziwa baada ya kifo cha mpendwa wao, ni wazi wananchi wa Geita hawamuelewi Joseph Musukuma anakotaka kuwapeleka. Hadi sasa wananchi wa Geita vijijini wanatembea kms 120 kutoka katoro kwenda makao makuu ya wilaya ambapo ni Nzera alikohamishia Ofisi...
  9. technically

    Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

    Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa. Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
  10. Execute

    Sasa imekuwa wazi, kanda ya ziwa ina watanzania asilimia 25 tu

    Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana. Takwimu za sasa kwa namba: Mwanza 3,699,872 Kagera 2,989,299 Geita 2,977,608 Mara 2,356,255 Shinyanga 2,123,654 Simiyu 2,078,428 Jumla ni around milioni 15 ambayo...
  11. M

    Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

    Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito. Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua...
  12. M

    Watu wa kanda ya ziwa hawana uelewa wa kuwepo kwa makabila mengine nchini

    Niko kanda ya ziwa, Nimeshangazwa na kitu kimoja Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku. Watu hawajuihata Tanga iko wapi...
  13. K

    Kiwango kikubwa cha Kansa kanda ya Ziwa kiangaliwe

    Nilishutushwa niliposikia hospital kubwa ya cancer Marekani MD Anderson ambayo ipo Houston Texas inafanya uchunguzi ni kwanini kuna mpasuko mkubwa wa cancer hasa za Tumbo kanda ya ziwa hasa mkoa wa Mara na majirani. Cha kushangaza ni miaka zaidi ya mitano na sijaona jitihada zozote za serikali...
  14. Execute

    Kwanini tumekubali ziwa la Kanda ya Ziwa kupewa jina na Malkia Victoria wa Uingereza?

    Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika. Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa ni majitaka yenye Zebaki (Mercury)kutoka migodini siyo maji ya maiti!

    Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform. Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji...
  16. BARD AI

    Mtoto wa Jicho, Kisukari ni chanzo kikuu cha Upofu Kanda ya Ziwa

    James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Shimba ameeleza kuwa Hospitali hiyo kwa mwezi inapokea Wagonjwa wa Macho zaidi ya 1000...
  17. Mkurya romantic

    Maeneo yenye watu washamba kanda ya ziwa

    Imekua tabia ya mda mrefu sasa kuwachukulia watu kutoka maeneo ya visiwa vya ziwa Victoria kua ni watu washamba wasio jua chochote sana sana kisiwa cha UKEREWE kinaonekana ni kisiwa cha watu washamba sana ila leo ningependa kutoa orodha ya watu muhimu nchini walio tokea ukerewe Piusi Msekwa...
  18. Mwizukulu mgikuru

    Watu wa kanda ya ziwa ni waungwana sana

    Watu wa kanda ya ziwa ni watu waungwana sana..wamejaaliwa tabia nyingi nzurinzuri kama ukarimu na kutokuwa na choyo...tatizo lililoikumba jamii hii ya watu wa kanda ya ziwa ni kutaka kugeuzwa kuwa watu wa ajabu..kiongozi mmoja wa serikali ambae kwa sasa hatunae alitaka kuwabadirisha hawa watu...
  19. D

    Polisi Kanda ya Ziwa tuondoleeni hatari hii barabarani madereva nyakati za usiku

    Habari wadau Maeneo ya Igunga, nzega, tabora, tinde, shinyanga, mizungwi, geita, chato, masumbwe, Isaka,kahama, ushirombo n.k Ikiwa hujawahi tembea maeneo hayo usiku ni vigumu sana kuelewa hatari ya trekta mbovu, tela za punda na ng'ombe zinazotumika usiku kucha! Maeneo hayo kuna treka za...
  20. saidoo25

    Wavuvi Kanda ya Ziwa walia na Waziri Ndaki

    Wavuvi wa Kanda ya Ziwa wamemtuhumu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kwa kitendo chake cha kushindwa kufika maeneo ya wavuvi kuwasikiliza ikiwemo visiwani na badala yake anaishia ziara Mwanza anaishia mjini na kuongea wa Wafanyabiashara wakubwa wa samaki na wenye viwanda huku wavuvi...
Back
Top Bottom