Huo ndo mtazamo wangu toka enzi za mwalimu kanda ya ziwa imeshikiria uhai wa CCM..
Kanda ya ziwa ni kuanzia Tabora. Mara, Kagera. Mwanza. Geita, Simiyu. Shinyanga na sasa Mpanda...
Sababu.
1. Wapiga kura wake ni wengi sana na wana msimamo.
2.wapiga kura kutoka ukanda huu
wametapakaa Tanzania...
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.
Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha...
Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.
Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na...
Hivi hii hutokea tu kwamba kila matukio yakitokea basi Watawala wengi hupotea na kuibikia huko Kanda ya Ziwa Mikoa ya Kagera au Mara na Mwanza, huwa matukio yanawakutia huko kwamba imetokea tu wakawa huko mipakani au kuna mengineyo?
Hata Tundu Lisu hatujui yuko wapi sasa hivi binafsi...
Kuna kila dadili za kurudi tena kwa siasa za kamata kamata tulizoziona miaka mitano iliyopita.
Sakata la bandari limewapa Chadema wasaa mzuri wa kukutana na wananchi nchi nzima kupitia operation 255 ambayo imeonesha mafanikio makubwa hata kanda ya ziwa ambapo watu walifikiri chama hicho kikuu...
Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe...
Unapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka
Kagera
Mwanza (Hususan kisiwa cha ukerewe)
Mara
Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwanini ?
Dar kuna...
Kutokana na kutokuwa na mvua za uhakika na za wakati kwa baadhi ya maeneo hapa inchi imepelekea maisha ya wananchi wengi hasa vijijini kuwa magumu kwa sababu tegemeo lao kubwa ni kilimo cha mazao ya chakula au biashara, ambacho pia ndio tegemeo lao la kukomboa familia zao kiuchumi, elimu, Afya...
Unaweza ukashindana na watu wa Kanda ya Ziwa kwa mambo fulani fulani, lakini usithubutu kwenye uendeshaji wa baiskeli kama wewe si mmoja wao. Utaumbuka! Nazungumzia baiskeli za kawaida au za kazi, siyo zile za "starehe".
Sina uthibitisho wa kitakwimu, lakini kwa makisio yangu, Kanda ya Ziwa...
"Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi.
Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia...
Habari zenu wadau.
Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town).
Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato.
Tofauti kabisa na...
Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga.
Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza...
Kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa Wachimbaji Wadogo wa dhahabu kwa miaka mingi bila kutatuliwa. Tusipojifunza kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo tutegemee maandamano mengine ya wachimbaji wadogo.
Baadhi ya Malalamiko yao ni
1. Kulipa kadi(mrahaba) zaidi ya mara 2, mchimbaji hukatwa...
Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa.
Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela.
Mpo mliotumia ukabila kupata tenda nono za ujenzi, MSD na nguzo za umeme nchi nzima
Mpo mliotengeneza kikundi cha...
Kwa wasio wenyeji wa kanda ya ziwa.
Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao.
Inasemekana kuna UCHAWI mzito sana wanafanyiwa ili kusahau nyumbani kabisa.
Basi nawasogezeeni hili...
Wakuu Habari.
Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo.
Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika...
Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba
Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza.
Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!!
Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini...
Ni meli mpya ya mwendokasi iliyotengezwa na kampuni ya wazawa Songoro Marine Yard ya jijini Mwanza iliyozinduliwa katika Ziwa Victoria ambayo imejizolea umaarufu kutokana na ubora wake pamoja na kurahisisha zaidi huduma za usafiri kati ya Mwanza na kisiwa cha Ukerewe.
Kampuni za wazawa zinao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.