Kanda ya ziwa kila nyumba ina msimbe mmoja au wawili maana yake sio wavumilivu kwenye ndoa au ni wakorofi kwenye ndoa zao.
Ukija kanda ya kaskazini, Arusha na Moshi kuna wajane wengi hii maana yake wanaume wanakufa kwa stress za mapenzi au wanauliwa na wake zao
Baadhi ya vitu wanavyofanya baadhi ya watu vinaweza kuwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi Kanda ya Ziwa, ingawa hakuna tafiti zinazoonesha kuwa vitu hivyo vinaweza kuwa visababishi vya moja kwa moja.
Meneja wa Ubora na Uvumbuzi kutoka Mradi Mtambuka wa Saratani Tanzania (TCCP) Aga Khan...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amemaliza ziara yake ya kikazi kutembelea na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Vyombo vilivyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na kusikiliza na kutatua kero zinazojitokeza lengo likiwa ni kuboresha utendaji kazi...
Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja.
Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili.
Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja?
Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
Ndugu zangu habari.
Naleta kwenu mada hii kufuatia takwimu mbalimbali zinazoonyesha kumekuwa na ongezeko kubwa Sana la watu Kanda ya ziwa hususani Mikoa ya Tabora, Mwanza, Geita, Shinyanga na Simiyu.
Kutokana na ongezeko hili kubwa imekuwa ni changamoto Kwa serikali kupeleka huduma za kutosha...
Kwanini wanasiasa kutoka kanda ya ziwa wanashambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii. Je, kuna chuki dhidi yao au kuna agenda maalumu asitokee mwanasiasa mwenye nguvu kutawala siasa kanda ya ziwa kama wanavyofanya Zitto Kabwe kule Kigoma, Freeman Mbowe kanda ya kaskazini au alivyokuwa marehemu...
Mike Tyson alipozidiwa ujanja na Evander Holyfield, Tyson alimng’ata Evander sikio na ilikuwa aibu kwelikweli siku hizo na pia ulikuwa mwisho wa umaarufu wa Tyson.
Je watanzania mnajua kwanini nchi nyingi barani Africa ukabila ni tatizo kubwa? Na ni akina nani walianzisha ukabila huo na kwa...
Manispaa ya Kahama
Kanda ya Ziwa inajivunia kuwa na Jiji la Mwanza (City Council) tangu 2002 ambalo ni Jiji la pili kutangazwa baada ya Dsm. Katika miaka hiyo ya 2000s, Miji ya Musoma, Bukoba na Shinyanga ilipandishwa hadhi na kuwa Manispaa (Municipal Cluncil). Ilichukua tena miaka ipatayo 20...
JE, KANDA YA ZIWA KUTUMIKA KAMA DARAJA LA KUWAVUSHA WANASIASA 2025 WALIODIRIKI KUMKEJELI DR JOHN POMBE MAGUFULI?
Baada ya kifo cha marehemu Dr John Pombe Magufuli tuliona wanasiasa waliokuwa karibu yake na wengine ambao Leo hii wapo madarakani Kwa sababu yake walianza kumnanga na kumkejeli...
📌📌 RAIS SAMIA NI DADA YETU, WATU WA KANDA YA ZIWA - MWENEZI MAKONDA
"Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ni dada wa kanda ya Ziwa. Tuna wajibu wa kumuombea, kumlinda na kumtetea kwa sababu kaka yetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiye aliyetutambulisha na kutuambia...
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda...
Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa.
Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema Msukuma dharau kwa kanda ya ziwa haijalishi Makonda ni Mwenezi au Dotto ni Naibu Waziri Mkuu,kisiasa...
Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima.
---
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023.
Mikoa...
Na GENTAMYCINE naendelea Kutabiri kuwa huenda mwishoni mwa 2024 au hiyo hiyo 2024 kukatokea Msiba mkubwa au Tukio Kubwa la Kashfa ambayo itamchafua na kummaliza vibaya Mshindani.
GENTAMYCINE naendelea tena Kutabiri mapema 2025 kutatokea tena Vifo vya Waandamizi wa Kati wa Chama ( CCM ) ambao ni...
Nilikuwa najiuliza yapo wapi magari yenye Namba C maana kule Dar es Salaam hayaonekani. Miaka ile jiji zima lilikuwa na hayo magari lakini siku hizi hayapo.
Baada ya kutembea Kahama, Maswa, Meatu, Kwimba, Mwanza, Geita, Sengerema, Ukerewe, Chato, Bukoba, Magu, Bunda, Busega, Musoma na Tarime...
Ndugu yenu GENTAMYCINE (kutoka Mkoani Mara) nawashaurini Vumilieni tu Kuchapiwa Wake zenu na Kulea Mimba za Wanaume Wenzenu na Watoto watakaozaliwa ni Jambo la Kawaida mno.
Na nasikia baadhi yenu kama mkigundua (baada ya kupima DNA) kuwa Watoto siyo Wenu (Mmechapiwa) kwa Hasira wakiwa bado ni...
Kwa lugha ya harakaharaka Kanda ya ziwa imekuwa ikitumiwa na CCM Kama kete ya mwisho kuivusha baada ya maovu yote.
Bahati mbaya sana hawa wavushaji hawathaminiwi. Wanatumiwa kama condom, Uchaguzi ukiisha mambo yanaanza yaleyale.
Bila Magufuli 2015 CCM ilikuwa inaaga mashindano, hata baada ya...
Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule.
Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau.
Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo.
Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote.
Lakini kama issue ilikuwa ni...
Mwanza, Shinyanga, Kahama, Geita, Kagera, na Kigoma! Kote huko sijawahi kukutana na ndizi mshare. Ndizi zinazopikwa maeneo tajwa ni ndizi ambazo kwa Arusha na Kilimanjaro, ukikuta mtu kazipika, ujue ni amekosa kabisa cha kupika. Si matumizi yake.
Nilikula ndizi kwa mara ya kwanza jijini Mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.