kanisa gwajima lafungiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Gwajima aendelea kukiona cha mtema kuni: Kesi ya Gwajima kupinga kanisa lake kufutwa yatupiliwa mbali na Mahalama Kuu

    erikali inasema haijafuta* Kanisa la Gwajima - hakuna maamuzi ya kufuta Kanisa la Gwajima linaloenda kwa jina la Glory of Christ TANZANIA Church. Na wala Barua ya kufuta haijawahi kupelekwa kwenye Kanisa hilo. Kwamba, kinachoonekana kufutwa kwenye ile Barua ya Msajili wa Jumuiya, ni Kanisa...
  2. JamiiForums Tanzania Migogoro ya msikiti wa Mwembechai na Kwamtoro, na kanisa la KKKT dayosisi ya mlima Meru, Serikali haikufuta usajili

    Mwembechai na Kwamtoro, ni misikiti miwili ambayo ilisababisha machafuko makubwa ktk nchi. Naweza kusema haijawahi kutokea hapo kabla na baada. Lakini Hatukusikia Serikali Ikifuta dini ya kiislamu. KKKT Dayosisi ya mlima Meru ilikuwa na vurugu za kujeruhiana na baadi kukosa makazi, pia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Waumini 84 wa Gwajima waliokuwa wamekamatwa waachiwa kwa dhamana, 2 bado wanashikiliwa na polisi

    Waumini wamejua kuonesha umoja ambao watanzania wengi tunakosa, inabidi tuchukue mfano huu kutoka kwao. Maelfu kwa maelfu tukikemea uonovu wataweza kukamata nchi nzima? ==== Wakili wa utetezi wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, Peter Kibatala amesema waumini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuta/kusitisha kazi za Jumuiya au Taasisi ya Kidini. Je, Kanisa la Gwajima limefungwa Kihalali?

    Nivema kutambua kwamba Katika muktadha wa Tanzania, utaratibu wa kisheria na kikanuni wa kufuta dhehebu au jumuiya ya kidini unategemea masharti yaliyowekwa chini ya sheria na kanuni husika na siyo hisia au msukumo wa kisiasa wa mtu na hasa kwa kuzingatia 1. Sheria ya Jumuiya za Kijamii (The...
  5. JamiiForums Tanzania Suala la barua kwa kanisa la Gwajima alafu mamlaka husika kuingia mitini bila kujibu ni kama mamlaka ya serikali Samia inapima upepo tusimame imara

    Suala la barua kwa kanisa la Gwajima kuhusu kufungiwa alafu mamlaka husika kuingia mitini bila kujibu ni kama mamlaka ya mama samia inapima upepo. Sasa sisi msimamo ni ule ule tunapinga vikali utekaji na mauwaji na hatukubali kanisa lifungiwe kwa kukemea mauwaji hayo, kitendo hiko cha kufungia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naamini Kanisa la Gwajima litakuwa kweli limefungwa, illa Kanisa litakuwa bado halijapkea rasmi hiyo barua

    Kosa la Gwajima ni kukanusha hii habari na kusema eti serikali ni nzuri haiwezi fanya jambo kama hilo. Hapa kakosea sana. Binafsi, naona huu ndio udhaifu wa Gwajima wa kung"ata na kupuliza kuhusu kauli zake kwa serikali na watawala kwa ujumla. Gwajima alitakiwa kusema hata yeye hizo taarifa...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi: kanisa la Gwajima limefungiwa au halijafungiwa?

    The Citizen ni gazeti. Ni chombo cha habari kinachoaminika. Gazeti linasema kuwa kanisa hilo limefungiwa na Emmanuel Kihampa [should be Kidampa, honestly], ambaye ndo msajili sijui wa nini….Registrar of Civil Societies. So which is which? Kanisa limefungiwa [hata kama taratibu hazijafuatwa] au...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nashauri serikali ifungie makanisa yote ya kitapeli yanayotumiwa na matapeli kupata fedha na umaarufu

    Tanzania sasa ni sawa na shamba la bibi. Kila tapeli anayetaka kutajirika haraka, anafungua kanisa. Makanisa sasa hayana tofauti na maduka au magenge ya kucheza kamari. Japo anachosema Josephat Gwajima kina mashiko, wanaoanza kumuandama kwa kuwaandama wanapaswa kukumbuka. Waliachia matapeli...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi

    Barua kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani, Ofisi ya Msajili wa Jumuiya inasomeka kama ifuatavyo:- KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA KANISA LA GLORY OF CHRIST CHURCH - KANISA LA UFUFUO NA UZIMA Chini ya Kifungu cha 17(b) na kifungu cha 2 cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337 kama kilivyorekebishwa na kifungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…