Kwa mujibu wa taarifa za Tume ya Uchaguzi ya Marekani (FEC), Rapa huyo aliyetangaza nia ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024, hadi sasa akaunti yake ya Kampeni ina salio Tsh. 55,985,680 tu.
Pia, imeelezwa kuwa Kanye ametumia zaidi ya Tsh. 4,868,320,000 katika shughuli mbalimbali...