kanye west

  1. Gudasta

    Viatu vya Kanye West vyauzwa kwa $1.8m

    Viatu ambavyo mtindo wake ulibuniwa na kuvaliwa na mwanamuziki Kanye West vimeuzwa kwa $1.8m (£1.3m) katika mnada ikiwa ni bei ya juu zaidi kuwahi kununuliwa . Viatu hivyo aina ya Nike Air Yeezy 1vilivunja rekodi iliowekwa na viatu vya Nike Air Jordan 1s vilivyouzwa kwa $615,000 mwaka uliopita...
  2. N'yadikwa

    Kim Kardashian aomba talaka kutoka kwa Kanye West baada ya miaka 6 na nusu ya ndoa

    Yuulee star maarufu wa huko USA ambae umaarufu wake umetokana na sababu nyingi zikiwemo zile neema kubwa kubwa ametia nia mbele ya korti za Taifa hilo nambari moko akidai talaka kwa rapa mashuhuri Kanye West. Duuuruu za unyetishajii huko America zinadai kuwa wawili hao waliooana kwa miaka 7...
  3. Numbisa

    Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

    Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian yapumulia mashine na kutaka kutalakiana. Kwa mujibu wa media za Marekani kwa muda Sasa ndoa yao Haina afya nzuri na ilidhoofu kwa kiasi kikubwa mwaka 2020 ambapo mastaa hao wamekuwa wakiishi Kila mtu kwake huku Kim akiwa na watoto Kwa mujibu wa taarifa Kim...
  4. M

    Kanye West kakubali kushindwa Uchaguzi Mkuu Marekani

    Rapper aliyechanganyikiwa kakubali kushindwa kwenye uchaguzi Marekani ambapo alikuwa anashindana kuchaguliwa kuwa Rais kupitia chama chake cha "birthday party" . Jumla za kura alizopata 0.2% Kanye West ambaye ndio ilikuwa Mara yake ya kwanza katika maisha yake kupiga kura amemkubali matokeo...
  5. Analogia Malenga

    Kanye West aungana na Wanaijeria kupinga ukatili wa polisi

    KANYE WEST AUNGANA NA WANAIJERIA KUPINGA UKATILI WA POLISI Mwanamuziki yota wa muziki wa hiphop wa Marekani, Kanye West ameungana na Raia wa Nigeria wanaoandamana kupinga ukatili wa polisi nchini humo Kutokana na ghasia zinazoendelea nchini humo serikali ilivunja Kikosi chake maalum cha Polisi...
  6. Planett

    Haya maneno ya Kanye West yamenikasirisha. Kwani anaichukuliaje RAV 4?

    Wakuu nilikua nasikiliza wimbo mmoja wa Jay-z aliowashirikisha Kanye West na Rihanna unaoitwa RUN THIS TOWN, katika huo wimbo kuna mstari unaosomeka: "What you think I rap for, to push a fucking Rav-4" Yaani wakati wengine tunatambiana sijui Rav-4 new model, mara old model mara sijui kili...
  7. Education Mentor

    Saikolojia: Fahamu Ugonjwa wa Bipolar Disorder (Kanye West)

    Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia. Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya kabisa kuusikia au wengi waliousikia lakini hawakuweza ingia kujifunza kuelewa Bipolar ndio ukoje...
  8. S

    Wizi wa mtandao: Akaunti za Twitter za Bill Gates na Elon Musk zadukuliwa, mamilioni ya dola yaibiwa

    Ni ndani tu ya saa moja lililopita, wadukuzi wamefanikiwa kuingilia faragha za akaunti za Twitter za Bill gates na Elon Musk na kutuma ujumbe ukiwataka watu watume kiasi cha pesa kwa njia ya bitcoin kisha, Watatumiwa mara mbili ya hiko kiasi. Mashambulizi yamekuwa makubwa maana kila Twitter...
  9. babu M

    Kanye West Teams with Gap, share up 33 percent

    Kanye West Teams with Gap Bold Partnership will Bring YEEZY Apparel to the People with New YEEZY Gap Line West and Gap Relationship Comes Full Circle as the Visionary Creative and Cultural Icon Returns to Disrupt Fashion Retail Kanye West, a multi-industry creative entrepreneur, is poised to...
  10. Miss Zomboko

    Kanye West atajwa kuwa Rapper wa pili kuwa bilionea baada ya Jay Z

    Kwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020. Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers. Awali Kanye West aliwapa Forbes...
  11. Sky Eclat

    P Diddy celebrates 50th birthday with mega-rich friends including Kim Kardashian, Kanye West, Jay-Z and Beyonce

    The star, whose real name is Sean Combs, was joined on Saturday night by some seriously rich pals worth a combined £2.2billion. Sean, himself worth £555m, hit the milestone on November 4 but threw a star-studded party on Saturday night with some of the biggest names in showbiz. Fellow...
  12. pinno

    Kanye West's My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010) ndiyo album bora ya 'decade'

    Billboards Charts, wametoa list ya Album bora 100 za muongo wa 2010-2019. Na at the top ni Album ya Kanye Omary west My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010). Disclaimer: Binafsi mimi mwenyewe kama Pinno nilikuwa nimeshaipa hii Album hii tuzo, kimoyomoyo, kama tu ambavyo nimeshatoa tuzo hizo...
  13. ozalla

    Kanye West stay off From Politics, Focus on creativity

    The father of three Kanye West has announced on Twitter on Tuesday, that he taking a step back from politics after been heavily criticized for supporting President Donald Trump. The announcement comes after the rapper debuted a line of apparel for the “Blexit” campaign that encouraged...
Back
Top Bottom