kanye west

  1. JanguKamaJangu

    Kanye West kuipa hasara Adidas, hatarini kupoteza Pauni milioni 450

    Kampuni ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata hasara ya Pauni Milioni 450. Adidas inatarajiwa kupata hasara hiyo kubwa kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 30 kutokana na kutouza mzigo wa bidhaa...
  2. PAGAN

    Kanye West minding his own business

  3. Analogia Malenga

    Elon Musk ampiga 'ban' Kanye West

    Account ya Kanye West ya Twitter imekuwa suspended kwa madai kuwa amevunja sheria za twitter na kuandika lugha inayoashiria uvunjifu wa amani. Asubuhi ya December 2, Kanye alipost picha ya Elon akiwa anamwagiwa maji mwili wake ukiwa mnene tofauti na alivyo sasa, na aliandika kuwa hiyo ni post...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Fumbo na kitendawili cha Kanye West dhidi ya Yesu Kristo

    Kama Ye anatamka jina la Yesu katika kipindi kigumu zaidi cha maisha yake jua kuwa jina la Yesu lina nguvu kubwa zaidi kuliko kitu kingine chochote kile ulimwenguni. Lakini je, kwa kutamka jina la Yesu, Ye ana akili au hana? Ye aliwahi kuutangazia umma kuwa alishauza nafsi yake kwa Shetani...
  5. BARD AI

    Kanye West kumlipa Kim Kardashian Tsh. Milioni 466.6 kila mwezi kwa matunzo ya watoto

    Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao. Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi kama gharama za matunzo ya watoto na pia watashiriki malezi ya pamoja ya watoto wao wanne -- North...
  6. BARD AI

    Kanye West atangaza nia ya kugombea tena Urais 2024

    Rapa huyo aliyebadili jina na kujiita 'Ye', ametangaza nia hiyo licha ya kufanya vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2020 aliopata Kura 60,000 kati ya Milioni 158.4 zilizopigwa. Katika video yake ya kwanza ya Kampeni, West anasema alimwomba Rais Mstaafu Donald Trump kuwa mgombea mwenza wake...
  7. mcshonde

    Kanye west part 2

    Kitu kingine ukiachana na kuongea ukweli kuhusu wayahudi, Kanye amedai kuwa wasanii wengi walio Marekani ni waoga sana kiasi kwamba hawana sauti juu ya haya makampuni makubwa. Miaka miwili iliyopita alieleza kuwa kuna wamarekani weusi wamepelekwa gerezani na vielelezo vyote vinaonyesha hawana...
  8. mcshonde

    Kanye West

    Kinachoendele kati ya taasisi kubwa/ matajiri "business people" na rapa kanye west kinatafakarisha sana. Kwanza kabisa hivi leo mashabiki wameanzisha kampeni ya kumchangia pesa ili awe bilionea tena. ni mapenzi hayo. Lakini Kanye kakosea wapi? kusema ukweli hadharani kumemponza. Wengi hawapendi...
  9. BARD AI

    Adidas yavunja mkataba na Kanye West baada ya kuonesha chuki dhidi ya Wayahudi

    Kampuni kubwa ya mavazi ya Adidas imevunja mahusiano ya kibiashara na rapa Ye, anayejulikana kama Kanye West, na kusema "Haivumilii chuki dhidi ya Wayahudi na matamshi yoyote ya chuki". Ushirikiano wa Adidas ya Yeezy na Mr West uliingia kwenye mgogoro baada ya Ye kuonesha muundo wa fulana ya...
  10. BARD AI

    Kanye West avunja mkataba wa Tsh. Trilioni 2.2 na kampuni ya mavazi ya GAP

    Rapa na mfanyabiashara huyo ameiandikiwa barua kampuni ya GAP na kuijulisha rasmi kwamba atasitisha ushirikiano wake na kampuni hiyo ya mavazi, Ushirikiano huo uliokuwa kwenye misukosuko ulianza mwaka 2020, umesababisha West kutoa malalamiko mengi kwenye mitandao ya kijamii katika wiki za hivi...
  11. BARD AI

    Kanye West: 'Nina uraibu wa ponografia na iliharibu familia yangu'

    Rapa Kanye West amefichua jinsi uraibu wake wa ponografia ulivyoharibu familia yake. Bilionea huyo amethibitsha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram Chapisho hilo linasemekana kumrejelea mama mkwe wake wa zamani, Kris Jenner - ambaye anamsimamia Kylie na mke wake wa zamani, Kim Kardashian...
  12. N

    Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

    Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single . Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim . Je. wewe unaweza tishia?
  13. Nyendo

    Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West yavunjika rasmi

    Kim Kardashian hatimaye ametalakiana rasmi na mume wake YE aliyejulikana kama Kanye West baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka minane. Katika uamuzi wa mahakama uliotolewa kupitia njia ya video nyota huyo pia ameondoa jina la West kutoka katika jina lake la Kim Kardashian West na kuwa Kim...
  14. Frumence M Kyauke

    Kanye West alalamika wasanii kuzulumiwa mapato na platforms za Muziki

    Rapa na muigizaji wa Marekani Kanye West amelalamika kuhusu majukwaa ya kusambaza muziki yanavyotesa wasanii kwa kuwalipa malipo duni kutokana na kazi zao. Kulingana naye, majukwaa ya muziki yamekuwa yakiwadhulumu wasanii kwa muda mrefu kwa kuwalipa pesa kidogo kutokana na kazi zao za sanaa...
  15. Emmanuel180

    Beef ya Kanye West na Jay Z

    Kama ulishawahi kusikiliza ile album ya Kanye kwa jina Graduation bila shaka unaujua wimbo unaitwa 'Big Brother' Ule ni wimbo spesho kabsa ambao mwana alimuimbia mshkaji wake wa faida (yaani km ile tattoo ya Mondi kwa mmakonde[emoji2]) Ndani ya ule wimbo kuna line inasema 'But he got me out my...
  16. sinza pazuri

    Kanye West anatuuzia controversies na hype.....

    Sanaa inahitaji akili nyingi sana na mmoja ya wasanii wanaowekeza sana kwenye creativity ni Kanye West. Kwa kifupi Donda ni album average tu sio kali kihivyo ila inafanya vizuri sababu ya matukio na hype. Kuna kipindi msanii unakuwa umeshaimba kila kitu ushafanya kila kitu inaitajika akili ya...
  17. C

    Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo

    Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo ya album nchini Uingereza baada ya kuuza kopi 20000 ktk wiki ya kwanza sokoni, asilimia 91 ni mauzo ya mtandaoni na asilimia 9 ni Downloads. - Ktk wiki ya kwanza Donda imesikilizwa mara milioni 33.4, hii ni album ya...
  18. Shadow7

    Kanye West Anataka Kubadilisha Jina Ili Aitwe YE

    Msanii na Rapper maarufu Kanye West ameiomba mahakama ya jijini Los Angeles huko California nchini Marekani kubadilisha jina lake kutoka Kanye West na badala yake awe anajulikana kwa jina la Ye peke yake. Kanye ambaye jina lake kamili ni Kanye Omari West, ametuma maombi hayo rasmi akitaja sababu...
  19. off-sir

    Donda House, nyumba aliyoishi Kanye West akiwa mdogo

    Msanii Kanye West kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha ya nyumba yao ya zamani alikuwa akiishi pindi akiwa mdogo Na tukumbushane tu kuwa nyumba hii ndio ile ambayo aliinunua mwaka jana 24 April kwa Dollar za kimarekani ($225,000) kwa mujibu wa kanye west mwenyewe anasema nyumba hii...
  20. THE SHADOW ONE

    Mambo muhimu yaliyojiri kwenye Album ya Kanye West "Donda"

    Ikiwa imepita miaka toka mkali wa mitindo na mtayarishaji wa muziki nguli wa mitindo ya kufoka foka Kanye West siku ya Alhamis aliweza kuachia EP yake inayoitwa "DONDA" ikiwa ni jina la Hayati marehemu mama yake na Kanye West. Mkali huyo mzaliwa wa Atlanta aliweza kuandaa sherehe ya...
Back
Top Bottom