Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaofanyika leo huko Cairo,Misri.
Karia ameshinda kwa kura nyingi za ndio kwa vile...
RAIS WA TFF Wallece Karia ujitafakari...maana najua utakuja jujuuuu Kwa ukali ila ili kulinda heshema Yako ungekaa pembeni maana hautokuwa wa kwanza kujihudhuru...Mfano ni waziri mkuu wa Canada , Waziri mkuu wa Uingereza Johnson Borrison na Rais wa Korea kusini ....walijihudhuru na maisha...
Ni genge la siri linaloundwa na mashabiki 12 wa timu 3 za mpira, kazi yake ni kuwaorganize mashabiki kuja uwanjani na picha za mwanasiasa fulani.
Sasa wameprint picha na ujumbe wa mitano tena kwa mwana siasa huyo.
Sidhani kama FIFA wamemtuma karia kuanzisha The Crew. Na yule mchambuzi yuko...
Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa
Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali ukubwa juventus walishashushwa daraja na ac milan kukatwa point
Mpira wetu ili uendelee tunatakiwa...
Wakuu
Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa!
==
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
Wakuu kutokana na rekodi kubwa aliyoweka huyu mwamba kutoka Tanga nashauri kwenye vile viwanja vikubwa vya soka vitakavyojengwa basi kimojawapo kiitwe Karia Stadium
Chini ya uongozi wake kwa mara ya kwanza nchi yetu itapeleka team
1.Wanaume afcon
2.Wanawake wafcon
3.Vijana under 20 afcon...
I will be short.
tulisema tutaelewana tu with time,
juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika.
leo kuna game ya community shield VAR iko wapi?
incompetence tu. nothing to show for it.
karia should change or leave.
Any way, baada ya mechi ya simba na azam fc. na mechi fountain gate kupanga matokeo. Bodi ya ligi imetoa Mkwala, wadau wa club tusiwaseme WAHAMUZI wala viongozi kwa media au social media.
In short, kocha wa Azam fc atapigwa fine, kisa kasema WAHAMUZI awako sawa , magoli yote ni offside...
Embu tuwe wakweli kidogo, jumuisha Marais wote wa Nchi, Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu wa Wizara, Marais na Wenyeviti wa TFF na FAT, hakuna hata mmoja ukichukua mafanikio ya mpira nchini katika kipindi chake ambaye anamfikia Wallace Karia.
Sikubaliani na kila anachofanya au...
Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC wameitwa na Simba mwezao wakae pale.
In short wale kama kikundi cha ovyo kinacho sababisha mpira wetu...
Nafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na Sasa kibu Denis prospa kiungo hatari wa Simba ni mchezaji wa Star.
Hapo Sasa, pia nimefikiria katika...
Tuzo ziliendana na ukweli wa kile kilichotokea kwenye msimu. Hata wanaotufuatilia hawatatukosoa. Ni shida ndogondogo tu za kibinadamu kama vile goli bora la Kipre. Kipre alifunga goli bora kwenye mechi dhidi ya timu bora kiasi gani? Mtibwa sugar ilikuwa timu mbovu sana kwenye msimu, hivyo...
Ndugu zangu wanayanga na watz wengine wenye mapenzi mema na mpira wa nchi yetu
Wote Leo tumeshuhudia mechi ya nusu final Crdb ukienda live hewani kutokea pale Geneva ya afrika (Arusha)
Ndugu zangu ule uwanja ulikuwa ni tusi aibu na fedheha kwa soka la nchi yetu
Siwezi andika mengi lakini ule...
"Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
"Kunapropaganda ilikuwa inapigwa kwamba ile timu ilikuwa inafanya mazoezi Avic Town tulifuatilia sisi na wizara tukakuta ni propaganda" Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF), Wallace Karia wakati akiwaomba wadau wa soka kuwa na ushabiki wenye manufaa kwa nchi.
Credit kwa Azam sports.
Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba).
Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu...
Nasema hivi Weusi sisi ni Njaaa sana,
Tumempata Kocha atakae tuponya atakae tuambia ukweli tuendeleee katika soka ila kwa kua tuna watu wasiojua Mpira saiv wanapanga kumfukuza kocha.
Mnamfuta kazi kocha Kisa kasema maneno ya ukweli na wameshamfungia ila alietazama Match zote za Morroco ameelewa...
Wakuu habari zenu,
Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi?
Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.