Nimekuwa mkosoaji mkubwa wa TFF kutokana na sababu za waamuzi na upendeleo, lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Karia amefanya na ziada kwenye mpira wetu. Amevunja rekodi nyingi kwenye tasinia ya mpira ambazo hazitaki maelezo mengi kuyataja.
Kwakuwa amefanya na ziada basi na wadau...
Kwa Usajili mnao ufanya ni wazi Sasa ile tabia yenu ya Kulalamika inaendelea. Mwakalebela na malalamiko yake ya kutaka kujitoa Ligi ya bongo ajiandae.
Misimu yote iliyopita hatujasikia malalamiko toka kwa Simba. Mambo ya kusema TFF inapendelea, mara ratiba inaibeba Yanga hayo hayakuwepo.
Sasa...
Timu ya Taifa ipo na imeshachaguliwa ila kwa sasa tumeificha ikiendelea na Mazoezi dhidi ya Niger Jumapili ijayo na hatutakitaja kwa sasa" amesema Rais wa TFF Wallace Karia.
Chanzo: Sports Headquarters EFM leo
Mwenyezi Mungu anisamehe na Members hapa JamiiForums mnisamehe ila kwa Kauli za Rais...
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema wachezaji wote ambao hawakuhudhuria katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa wachezaji wa Ligi za ndani bila sababu za msingi wafungiwe michezo mitano ya mwanzo wa msimu ujao.
Karia amesema hayo katika hafla ya ugawaji tuzo za...
Jana katika hafla ya kuipongeza timu ya Yanga ikulu Dar es Salaam, Rais Samia Suluhu ametegua siri ya mapenzi na ushabiki wa timu anayoishabikia Rais wa TFF Walace Karia.
Kwa muda mrefu Karia amekuwa akihusishwa na mapenzi ya lia lia na timu ya Simba lakini mwenyewe amekuwa akidai yeye ni...
Mwaka huu michuano ya kimataifa ya vilabu mambo mbali mbali yamejitokeza.....
Nafikiri kazi ya kiongozi wa Tff ni kutetea nchi yake na kupenyeza agenda zitakazoisaidia huko kwenye shirikisho...
Nafikiri hizi agenda zifuatazo zinapaswa sasa kupiganiwa na Tff...
1. Goli la ugenini lifutwe...
2...
Huyu jamaa ni snitch mkubwa na muhujumu na adui namba moja wa Yanga.
Nashauri Yanga iachane na maafisa wote kutoka TFF, BMT na wizarani.
Wekezeni kwenye watu wa sakolojia benchi la ufundi tu !!!
Karia ni adui namba moja wa Yanga
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo.
Je, kuna ukweli wowote wa juu ya hili? Tusaidieni kumhoji
Picha1: Sehemu ya Tweet inayomlaumu Rais Karia kwa kauli...
Manara alisema aliambiwa na Karia "Wana Yanga chupi zao zimejaa kinyesi". Haya maneno nani mwingine aliyasikia? Walikuwa wapi wao tu wawili? Ilikuaje?
Kama ilikuwa public kwa nini wengine hawakusikia? Itakuwa Haji ni katika kuendeleza utani wake kwa sisi wana Yanga kuna kipindi anajisahau...
Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana.
Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena...
Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana
Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka kuvunjwa miguu marefa kimya, adhabu ya Inonga hadi leo kimya, kamati ya masaa 72 huwa ni kuwaadhibu...
Ni uleule muendelezo wa vita kati ya karia na yanga sc kwa kutumia ukaribu wake na Motsepe ameagiza Ngushi akatwe jina lake
wana yanga amkeni nyie, mnaonewa sana.
Karia kwa kauli na matendo hakika ni mtu wa kuchungwa mno kisiasa kama kimelea kinachokaribia kuleta sintofahamu kubwa baina ya wananchi wa Tanzania.
Pamoja na kuongoza TFF bado Karia anawajibika kutokusababisha manung'uniko na kuwagawa Watanzania kwa sababu ya chuki zake binafsi kwa adui...
Kwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania.
Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa ya Uganda huku wakisema "acha mwana majivuno Karia apigwe ili aendelee kuwafungua wana michezo wa...
Tumeshuhudia Simba ikimgomea Karia udhamini wa GSM bila kufanya chochote, tumemsikia mwenyekiti wa Simba ngugu Mangungu akibwabwaja na kuibwatukia TFF bila Karia kuchukua hatua, tulimuona Barbara akiifyatukia TFF bila kuchukua hatua yoyote.
Ila wadau wa Yanga wakitenda jambo wanaambiwa...
Rais wa TFF kwenye mkutano wa ARUSHA ameviomba vilabu kupeana support vinapocheza mechi za kimataifa
hata hivyo wakati wa tamasha la SIMBA Day
Mwanamuziki TUNDAMAN aliingia na watu wake wakaendesha misa ya mzaha kuibeza Yanga kufungwa na Vipers mwaka huu.
Alipotoka ndani ya jeneza akaimba...
HIi leo Rais Wa TFF amesikika katika mkutano na viongozi wa CAF na FIFA huko Arusha akiita wanafamilia wa mpira watu wenye mambo ya "kijinga-jinga".
Kauli hii ya kitemi kutoka kwa Rais wa mpira nchini, ni muendelezo wa ubabe na jeuri ambayo anaoionyesha mbele ya jamii ya wanamichezo nchini...
Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi.
Hebu...
Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana
Kwa...
Nani kama wewe Mkuu wa Kazi, umesimama imara ktk kuhakikisha mpira wa Tanzania haujinasiwi na makanjanja ...
Katika awamu yako tumeshuhudia timu za taifa mbalimbali zikifanya vizuri, tumefuzu world cup ya wadada U17 pale India,
tukija kwa upande wa Sponsorship ktk ligi yetu kuu pia ume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.