Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Habari JF , nadhani soka letu la Bongo limetoka mbali sana lakini binafsi naona katika uongozi wa Karia tumepiga hatua sana hasa katika mambo yafuatayo :-
1.Ligi imepanda viwango na umaarufu , hili limepelekea timu kuongezeka katika ushiriki kimataifa .
2.Timu zinadhamika , wadhamini wameongezeka .
3.Kuimarika kwa ligi wanawake , CRDB ,vijana hii inapelekea kuibua vipaji na ajira .
4.Maslahi na mishahara mizuri kwa wachezaji, kwa sasa tunachukua wachezaji pande zote za Afrika
5.Kuimarika Timu za Taifa wakubwa ,vijana , wanawake .
6.kuongezeka ushirikiano na kuaminiwa na CAF /FIFA
Kwa haya machache nadhani bado tunamuhitaji huyu kiongozi pamoja na mapungufu yake .