Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Sijui nianzie wapi....coz mengi tayari yamesemwa kwa kina.
Na Mimi naungana kabisa na watu wanaotilia mashaka uwezo wa Walace Karia...Rais wa federation.
Huyu jamii hata kwa kumtizama tu hayupo professional kabisa.....sio tu kwenye masuala ya fedha....bali karibu jambo analolifanya.
Yaani Rais mzima utaendeshaje taasisi kienyeji hivyo....
Kama Malinzi na katibu wake Mwesigwa walifikishwa rumande kwa kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu naamini hi michezo bado inaendelea hapo federation....
Malinzi alikutwa na makosa 28 ya wizi wa fedha za shirikisho.
Sijui kwanini CAG afanyi ukaguzi TFF na hizi timu za wanachama.
Au kukagua huko ndio kuingilia kwa serikali mambo ya shirikisho...sijui Ila by any means huyu hawezi kukutwa salama...
Na likely haya magendo yana baraka za TFF na hapo Yanga pia......
Kuna aibu kubwa sana hapo baadaye......