Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika.
Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee wenzio akina kasongo?
Kwanini usimuige Leodigar Tenga aliyeondoka hapo Tff kwa heshima.
Au kwasab unajua kanuni za FIFA zinakulinda, hufukuziki bila kuli-cost
taifa zima lifungiwe na FIFA ikiwa wewe utaondoshwa hapo mzobe-mzobe.
Nikisema Huna ulilofanya hapo TFF nitakuwa sikutendei haki....
Yapo mazuri hatukatai, ila sasa manyoka-nyoka ndio yameshamiri kwenye uongozi wako mathalani:
1. Waamuzi kuharibu michezo kwa kuchezesha kwa mapendeleo...
Wewe ni mtu mzima, hivi vitendo unavijua...sio wala la kujadili hili.
2. Kashfa ya masuala kifedha
Zawadi za Washindi, uzuri hili. jambo limezungumzwa nchi nzima.
Wewe ni mzima utakuwa umesikia.
3. Kufungia Wadau ovyo Kwa visasi
4. Kudharirisha Watu....Kwa mfano
(a) Uliwahi kususa kupokea mkono wa kocha Minziro tena hadharani..alipotaka akusalimie wakati wa ugawaji tuzo.
(b) Uliwahi kumuonea na kumdharirisha kocha wa Tanzania
Mualijeria Adel Amrouache kwa kumfukuza wakati michezo ya Afcon ingali inaendelea..
( c) Uliwahi kumdharirisha Tundu Lissu, kwa kauli yako uliyoahidi kuwa utawashughulikia akina Tundu Lissu wote kwenye industry ya mpira...
5. Kutanguliza masilahi ya urafiki wako binafsi na baadhi ya wanufaika wa ajira za federation badala ya masilahi ya Taifa kwanza......
Ili kuthibitisha hili rejea teuzi za Wafuatao.
Kidau
Ammy Ninje
Bakari Shime
Oscar Mirambo
Hemed Morroko
Julio...wapo wengi mno mpaka nimechoka.
Vigezo vya Uteuzi wa watajwa hapo vilijikita kwenye mahusiano yako bnafsi na wateuliwa hao kuliko professionalism..
Kiufupi huwezi, tunaenda kizani.