Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya kusema "Siongei na Mtu"
Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani viongozi wa juu hawajatoa mstakabali wa kikao hicho.
Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani viongozi wa juu hawajatoa mstakabali wa kikao hicho.