Video: Rais wa TFF, Wallace Karia hoi akitoka kwenye Kikao kizito na Serikali, asema "Siongei na Mtu"

Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya kusema "Siongei na Mtu"

Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani viongozi wa juu hawajatoa mstakabali wa kikao hicho.
View attachment 3285176
Hiyo "Siongei na mtu" alikuwa anamwambia nani!!?
 
Angeombwa kustaafu kwa faida ya Soka uyu mzee kashafikia kikomo chake cha uyendaji wkt TFF inaenda kuwa kubwa zaid

na kutakiwa mtu mwepesi akili nyingi sana. ifanyike Sub alaka alaka.. uyo mzee apewe Shamba la machungwa Tanga akapunzike.!!
 
Kuna wakati Mwasibu unaongea pointi sana. Tangu alipotoka Leodgar Chilla Tenga, TFF ilivamiwa na wanasiasa. Kuanzia Jamal Malinzi na huyu Wallace Karia, wote ni chenga tu.
Mimi hata Taifa Starz niliielewa kipindi cha Tenga, mpira ulikuwa na hamasa. Jamal Malinzi tulimpgia promo humu sababu alikuwa mwanachama wa JF na tukiamini ataleta taswira nzuri zaidi ya soka letu. Sasa hivi amekuja Tenga, huyu ndo mhuni kabisa asiyeweza kujizuia mahaba yake.
 
Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya kusema "Siongei na Mtu"

Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani viongozi wa juu hawajatoa mstakabali wa kikao hicho.
View attachment 3285176
hovio KBS! kusema siongei na mtu ndo kuwa hoi? nyumbu nyingine zimehama Serengeti zipo forums!
 
min -me anakutafuta alipokuwa amepanga kafukuzwa anaomba umsaidie nauli arudi kwao rombo
Katika watu wana heshima zake hapa jf ji huyo jamaa..

Huwa na jiuliza sijui imekuaje mpaka amefukuzwa maana ni mtu ambaye hata ukitaka kuanza kugombana nae unajiuliza unaanzaje maana jamaa ni cool sana..

Kuna siku nilimkuta kule jukwaa la dini daah nikaamin kweli jamaa ni talented kwa mambo ya dini alikua anachambua vitabu mpka kuna shekhe mmoja anaitwa nani sijui ila jina la mwisho mzizi mkavu..

Yule jamaa alisema min -me hapa jf ni zaid ya kisima cha maarifa..

Hi ya kusema kafukuzwa imeniuma sna maana huyu ni role model wangu humu

Nakumbuka mwaka 2019 nilianza kufatilia jf kwa sababu ya nyuzi yake moja aliyoelezea kuhusu hali ya maisha, uchumi na mapambano.

Ule uzi ulimotivate vijana wengi ikiwemo mimi na mtu mwingine ambaye alitoa ushuhuda ni mbaga jr ..

Mara ya kwanza nakutana na min -me ilikua 2021 sema alisema yup busy na kikao hii ilikua pale banana alikua anaelekea airport

min -me uishi maisha marefu mkuu sijui umekytwa na nini wakati huu mkuu
 
Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya kusema "Siongei na Mtu"

Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani viongozi wa juu hawajatoa mstakabali wa kikao hicho.
View attachment 3285176
Aongee ili atukane watu? Msomali anajua kuongea na watu?
 
Ameambiwa ajiuzulu kwa mustakabali wa mpira wetu.
Ila ataenda kuwaambia waandishi wa Tanga nyinyi wa Dar mna mambo yenu.
Huyu dingi ndie boss wa wahuni wa bodi ya ligi , wote wanapaswa kujiuzulu na kushitakiwa.
 
Yaani yanga karia jinsi alivyowabeba leo hii wanamdhalilisha hadharani wakati amewaruhusu kudhamini team 8 za ligi kuu tena ilikuwa iwe team zote ila simba wakakataa.
 
Katika watu wana heshima zake hapa jf ji huyo jamaa..

Huwa na jiuliza sijui imekuaje mpaka amefukuzwa maana ni mtu ambaye hata ukitaka kuanza kugombana nae unajiuliza unaanzaje maana jamaa ni cool sana..

Kuna siku nilimkuta kule jukwaa la dini daah nikaamin kweli jamaa ni talented kwa mambo ya dini alikua anachambua vitabu mpka kuna shekhe mmoja anaitwa nani sijui ila jina la mwisho mzizi mkavu..

Yule jamaa alisema min -me hapa jf ni zaid ya kisima cha maarifa..

Hi ya kusema kafukuzwa imeniuma sna maana huyu ni role model wangu humu

Nakumbuka mwaka 2019 nilianza kufatilia jf kwa sababu ya nyuzi yake moja aliyoelezea kuhusu hali ya maisha, uchumi na mapambano.

Ule uzi ulimotivate vijana wengi ikiwemo mimi na mtu mwingine ambaye alitoa ushuhuda ni mbaga jr ..

Mara ya kwanza nakutana na min -me ilikua 2021 sema alisema yup busy na kikao hii ilikua pale banana alikua anaelekea airport

min -me uishi maisha marefu mkuu sijui umekytwa na nini wakati huu mkuu
Tag huo uzi tajiri
 
Simba wameibua jambo kubwa sanaaa.mpira wa bongo umejaa ujinga kwa muda mrefu sana na upangaji matokeo
Umenikumbusha mipaka ya nyuma Kuna Mchezaji wa zamani wa Yanga alidakwa akitaka kumuhonga Shaban Kado kipa wa Mtibwa Sugar. Hawa Yanga haya mambo hawajaanza leo.

Back
Top Bottom