Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
Rais Karia aongei na mtu na acheki na wowote yule.
Hiyo "Siongei na mtu" alikuwa anamwambia nani!!?Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya kusema "Siongei na Mtu"
Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani viongozi wa juu hawajatoa mstakabali wa kikao hicho.
View attachment 3285176
Mkuu unatafutwa sanaHapo ni wapi
KabisaKuna wakati Mwasibu unaongea pointi sana. Tangu alipotoka Leodgar Chilla Tenga, TFF ilivamiwa na wanasiasa. Kuanzia Jamal Malinzi na huyu Wallace Karia, wote ni chenga tu.
Mnamkataa sasa badala ya kumtia moyoAisee hii nchi ina wajinga wajinga wengi sana wapo kwenye nafasi kubwa. Eti huyu alikuwa DED. Sijui hutumia vigezo gani kuwapa watu kama hawa vyeo
MangunguHiyo "Siongei na mtu" alikuwa anamwambia nani!!?
Mimi hata Taifa Starz niliielewa kipindi cha Tenga, mpira ulikuwa na hamasa. Jamal Malinzi tulimpgia promo humu sababu alikuwa mwanachama wa JF na tukiamini ataleta taswira nzuri zaidi ya soka letu. Sasa hivi amekuja Tenga, huyu ndo mhuni kabisa asiyeweza kujizuia mahaba yake.Kuna wakati Mwasibu unaongea pointi sana. Tangu alipotoka Leodgar Chilla Tenga, TFF ilivamiwa na wanasiasa. Kuanzia Jamal Malinzi na huyu Wallace Karia, wote ni chenga tu.
Mangungu co mtu?Mangungu
hovio KBS! kusema siongei na mtu ndo kuwa hoi? nyumbu nyingine zimehama Serengeti zipo forums!Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya kusema "Siongei na Mtu"
Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani viongozi wa juu hawajatoa mstakabali wa kikao hicho.
View attachment 3285176
Kwani wewe unamuonaje?Mangungu co mtu?
Na nani tena mkuu na ni jukwaa gani hiloMkuu unatafutwa sana
Katika watu wana heshima zake hapa jf ji huyo jamaa..min -me anakutafuta alipokuwa amepanga kafukuzwa anaomba umsaidie nauli arudi kwao rombo
Aongee ili atukane watu? Msomali anajua kuongea na watu?Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya kusema "Siongei na Mtu"
Bado haijajulikana hasa ni nini kimeamuliwa katika kikao hicho kwani viongozi wa juu hawajatoa mstakabali wa kikao hicho.
View attachment 3285176
Huyu dingi ndie boss wa wahuni wa bodi ya ligi , wote wanapaswa kujiuzulu na kushitakiwa.Ameambiwa ajiuzulu kwa mustakabali wa mpira wetu.
Ila ataenda kuwaambia waandishi wa Tanga nyinyi wa Dar mna mambo yenu.
Tag huo uzi tajiriKatika watu wana heshima zake hapa jf ji huyo jamaa..
Huwa na jiuliza sijui imekuaje mpaka amefukuzwa maana ni mtu ambaye hata ukitaka kuanza kugombana nae unajiuliza unaanzaje maana jamaa ni cool sana..
Kuna siku nilimkuta kule jukwaa la dini daah nikaamin kweli jamaa ni talented kwa mambo ya dini alikua anachambua vitabu mpka kuna shekhe mmoja anaitwa nani sijui ila jina la mwisho mzizi mkavu..
Yule jamaa alisema min -me hapa jf ni zaid ya kisima cha maarifa..
Hi ya kusema kafukuzwa imeniuma sna maana huyu ni role model wangu humu
Nakumbuka mwaka 2019 nilianza kufatilia jf kwa sababu ya nyuzi yake moja aliyoelezea kuhusu hali ya maisha, uchumi na mapambano.
Ule uzi ulimotivate vijana wengi ikiwemo mimi na mtu mwingine ambaye alitoa ushuhuda ni mbaga jr ..
Mara ya kwanza nakutana na min -me ilikua 2021 sema alisema yup busy na kikao hii ilikua pale banana alikua anaelekea airport
min -me uishi maisha marefu mkuu sijui umekytwa na nini wakati huu mkuu
Umenikumbusha mipaka ya nyuma Kuna Mchezaji wa zamani wa Yanga alidakwa akitaka kumuhonga Shaban Kado kipa wa Mtibwa Sugar. Hawa Yanga haya mambo hawajaanza leo.Simba wameibua jambo kubwa sanaaa.mpira wa bongo umejaa ujinga kwa muda mrefu sana na upangaji matokeo