Wametupambania sana tangu waingie madarakani. Na sasahivi wapo ambao wamewajibika kupoteza nafasi zao sababu yetu.
Mbali na kutusaidia kupata ushindi tusiostahili kwenye mechi nyingi ila kubwa zaidi ni NAMNA WALIVYOJITOA MUHANGA ILE TAREHE 8 March. Bila wao ilikuwa zichukuliwe point 3 wapewe Yanga na 15 zingine zitolewe.
Kiuhalisia hawa ni wazalendo halisi wa Simba ambao tunatakiwa tuangalie namna ya kuwaenzi hata ikibidi tuwajengee mnara utakaokuwa na majina yao na neno " WAZALENDO HALISI"