Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,101 Reaction score 38,487 May 14, 2025 #1 Muda si mrefu Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8 Sasa bodi ya ligi a Karia wenu Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba kama mlivyojichanganya Kazi iendeleeee
Muda si mrefu Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8 Sasa bodi ya ligi a Karia wenu Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba kama mlivyojichanganya Kazi iendeleeee
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,915 Reaction score 28,284 May 14, 2025 #2 Usikute Karia aliwekewa huu kama mtego wa kumuondoa na kajaa!
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,186 Reaction score 27,366 May 14, 2025 #3 uhurumoja said: Usikute Karia aliwekewa huu kama mtego wa kumuondoa na kajaa! Click to expand... Karia alihakikishiwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF kuwa anaongezewa muda, na mmojawapo aliyesema hilo ni Hersi
uhurumoja said: Usikute Karia aliwekewa huu kama mtego wa kumuondoa na kajaa! Click to expand... Karia alihakikishiwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF kuwa anaongezewa muda, na mmojawapo aliyesema hilo ni Hersi
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 May 14, 2025 #4 Kwani akili huwa haziazimishwi ili Jakaya awaazime wenzie?