Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
NILICHOANDIKA Kabla ya uchaguzi na nini kinaenda kutokea uchaguzi wa TFF ndicho kimefanyika.
Nilisema watapitishwa kadhaaa mwisho mtasikia ama wamejitoa /ama waliopita nae hawana vigezo ndicho kimetokea.
Nitarudi baadae.
Rais mteule TFF HONGERA
Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia.
Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
Sisi sote ni mashahidi jinsi wallace karia na TFF walivyokuwa wanawazuia kina yikpe,sarpong na wachezaji kadhaa nyota wa kigeni kufunga magoali na kusababisha wakose magoli ya wazi huku wakiwabeba wachezaji wa kiwango cha kawaida mno kama cham,kagere,luis jose waonekane wana shine.
Wana...
Amefanya Mambo mengi mazuri hasa katika kuleta Mandeleo ya Soka Tanzania
Katika Wagombea wote waliochukua Fomu Karia ni bora na anafaa kuliko wengine.
Tena ikiwezekana na Katiba ikiruhusu Wallace Karia aongoze Milele tu TFF kwani kafanya makubwa.
Ukiona Mtu anakubaliwa na GENTAMYCINE jua ni...
Kama kuna dhambi wajumbe mtafanya ni kumrudishia tena madarakani Karia
TFF nabidi ibadilike bodi inafanya kazi kimazoea
Tufike wakati tuseme imetosha
Tuwe na viongozi wenye hekima na busara kuwatumikia wananchi
Kuna Taarifa kwamba Mwenyekiti wa zamani wa Simba Swedi Nkwabi aliyemkimbia MO pamoja na Mamluki Ntahilaja anayetajwa kutoka Yanga leo wameonekana kwenye ofisi za TFF kwa kile kinachodaiwa eti kumchukulia fomu "bilionea" Karia ili aendelee kutafuna hela za TFF.
Swali ni hili: Wamelipwa nini...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, ndugu Fredrick Mwakalebela ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka nchini kwa kipindi cha miaka mitano pamoja na kutozwa faini ya sh. milioni saba, amekiri kufanya makosa na kuiomba radhi TFF kwa yale aliyotamka hadi yakapelekea kupewa...
Kocha wa timu ya Geita Gold, Fred Felix Minziro amewakanusha watu wote wanaosambaza video inayojaribu kuwashawishi washabiki waamini kwamba Rais wa TFF ana chuki naye na kwamba aliukwepa kwa makusudi mkono wake.
Minziro amesema Karia ni rafiki yake mkubwa na wamekuwa wakizungumza mara kwa mara...
Bulembo,mzee mustaafu mwenye hekima zake ameapa kupeleka shauli mahakamani kuishtaki TFF ili iondoe kipengele cha lazima uwe na elimu ya Shahada ama degree ndipo uruhusiwe kugombea Urais na u makamo wa Rais wa TFF.
"...kipengere hicho kinakiuka katiba na miongozo ya wenye mpira Duniani na...
Hatujui ni kwasababu gani Karia anajivunia mafanikio ya soka yaliyopatikana wakati wa kipindi cha cha miaka 4. Binafsi sioni mafanikio ya soka kwenye kipindi chake zaidi ya Karia kuhakikisha kuwa Simba inakuwa bingwa kwa kipindi chake chote na inafanya vizuri kwenye mashindano ya African...
Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana !
Anapaswa kufikishwa mahakamani kwa Tuhuma za Utapeli na Uhujumu uchumi , tunaamini huko...
Wakati akihojiwa na Mtangazaji wa Efm Radio, Bwana Wallace Karia amesema ni wazi kwamba mwaka huu atagombea tena nafasi ya Urais wa TFF.
Amesema atafanya hivyo ili atekeleze mambo aliyoongeza kwenye Ilani yake na mengine mapya aliyoanzisha.
Je, KARIA ANASTAHILI NAFASI NYINGINE?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.