karia

Karia is a settlement in Kenya's Central Province. It is part of the Nyeri Town Constituency.

View More On Wikipedia.org
  1. Wallace Karia aula, ashinda ujumbe wa kamati tendaji Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaofanyika leo huko Cairo,Misri. Karia ameshinda kwa kura nyingi za ndio kwa vile...
  2. K

    Wallece Karia Kwa ili ujitafakari

    RAIS WA TFF Wallece Karia ujitafakari...maana najua utakuja jujuuuu Kwa ukali ila ili kulinda heshema Yako ungekaa pembeni maana hautokuwa wa kwanza kujihudhuru...Mfano ni waziri mkuu wa Canada , Waziri mkuu wa Uingereza Johnson Borrison na Rais wa Korea kusini ....walijihudhuru na maisha...
  3. "The Crew" genge la Karia linalozidi kuharibu mpira wa Tanzania

    Ni genge la siri linaloundwa na mashabiki 12 wa timu 3 za mpira, kazi yake ni kuwaorganize mashabiki kuja uwanjani na picha za mwanasiasa fulani. Sasa wameprint picha na ujumbe wa mitano tena kwa mwana siasa huyo. Sidhani kama FIFA wamemtuma karia kuanzisha The Crew. Na yule mchambuzi yuko...
  4. Karia uongozi wa TFF umemshinda huo ndo ukweli

    Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali ukubwa juventus walishashushwa daraja na ac milan kukatwa point Mpira wetu ili uendelee tunatakiwa...
  5. Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  6. Uwanja mmoja uitwe Karia Stadium

    Wakuu kutokana na rekodi kubwa aliyoweka huyu mwamba kutoka Tanga nashauri kwenye vile viwanja vikubwa vya soka vitakavyojengwa basi kimojawapo kiitwe Karia Stadium Chini ya uongozi wake kwa mara ya kwanza nchi yetu itapeleka team 1.Wanaume afcon 2.Wanawake wafcon 3.Vijana under 20 afcon...
  7. D

    leo kuna game ya community shield simba na yanga princess, VAR ya KARIA iko wapi??

    I will be short. tulisema tutaelewana tu with time, juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika. leo kuna game ya community shield VAR iko wapi? incompetence tu. nothing to show for it. karia should change or leave.
  8. D

    Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR

    BUDGET YA VAR BUNGE LIMEPITISHA✅ PESA WAMEPIGA, VAR AMNA , TUTAELEWANA TU NA KARIA
  9. D

    Tulisema Karia must go ukahisi tunazingua, tutaelewana polepole

    Any way, baada ya mechi ya simba na azam fc. na mechi fountain gate kupanga matokeo. Bodi ya ligi imetoa Mkwala, wadau wa club tusiwaseme WAHAMUZI wala viongozi kwa media au social media. In short, kocha wa Azam fc atapigwa fine, kisa kasema WAHAMUZI awako sawa , magoli yote ni offside...
  10. Wallace Karia ndiye kiongozi wa muda wote wa mpira nchini mwenye mafanikio bora zaidi

    Embu tuwe wakweli kidogo, jumuisha Marais wote wa Nchi, Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu wa Wizara, Marais na Wenyeviti wa TFF na FAT, hakuna hata mmoja ukichukua mafanikio ya mpira nchini katika kipindi chake ambaye anamfikia Wallace Karia. Sikubaliani na kila anachofanya au...
  11. D

    Wallace Karia amegeuza timu ya Taifa ya kwake na washikaji wake. Ingawa kafanya makubwa ushikaji utamgharimu

    Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC wameitwa na Simba mwezao wakae pale. In short wale kama kikundi cha ovyo kinacho sababisha mpira wetu...
  12. U

    Sasa ni Wakati wa Karia kumuombea Max uraia, akipige stars

    Nafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na Sasa kibu Denis prospa kiungo hatari wa Simba ni mchezaji wa Star. Hapo Sasa, pia nimefikiria katika...
  13. Tuzo za wachezaji zilienda sahihi kwa 98%, hongera Karia.

    Tuzo ziliendana na ukweli wa kile kilichotokea kwenye msimu. Hata wanaotufuatilia hawatatukosoa. Ni shida ndogondogo tu za kibinadamu kama vile goli bora la Kipre. Kipre alifunga goli bora kwenye mechi dhidi ya timu bora kiasi gani? Mtibwa sugar ilikuwa timu mbovu sana kwenye msimu, hivyo...
  14. Huenda Karia kaamua kuiabisha ligi yetu

    Ndugu zangu wanayanga na watz wengine wenye mapenzi mema na mpira wa nchi yetu Wote Leo tumeshuhudia mechi ya nusu final Crdb ukienda live hewani kutokea pale Geneva ya afrika (Arusha) Ndugu zangu ule uwanja ulikuwa ni tusi aibu na fedheha kwa soka la nchi yetu Siwezi andika mengi lakini ule...
  15. Picha: Karia akabidhiwa Jezi ya Simba na Ahmed Ally

  16. Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    "Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
  17. Wallace Karia: Jwaneng galaxy FC kufanya mazoezi Avic town ni uzushi na siyo habari za ukweli Bali ni propaganda tu

    "Kunapropaganda ilikuwa inapigwa kwamba ile timu ilikuwa inafanya mazoezi Avic Town tulifuatilia sisi na wizara tukakuta ni propaganda" Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF), Wallace Karia wakati akiwaomba wadau wa soka kuwa na ushabiki wenye manufaa kwa nchi. Credit kwa Azam sports.
  18. M

    Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba). Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu...
  19. Amrouche Alikua Sahihi 100% Morroco Wanabebwa Sana hawana huo uwezo Saiv, TFF Ya Karia Hamjui Mpira

    Nasema hivi Weusi sisi ni Njaaa sana, Tumempata Kocha atakae tuponya atakae tuambia ukweli tuendeleee katika soka ila kwa kua tuna watu wasiojua Mpira saiv wanapanga kumfukuza kocha. Mnamfuta kazi kocha Kisa kasema maneno ya ukweli na wameshamfungia ila alietazama Match zote za Morroco ameelewa...
  20. Rais Wallace Karia wa TFF hivi kuanzia aanze kuongoza pale TFF amefanya nini mpaka sasa?

    Wakuu habari zenu, Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi? Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…