karia

Karia is a settlement in Kenya's Central Province. It is part of the Nyeri Town Constituency.

View More On Wikipedia.org
  1. Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

    Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
  2. Karia apita bila kupingwa, mmeelewa nilichoandika sasa

    NILICHOANDIKA Kabla ya uchaguzi na nini kinaenda kutokea uchaguzi wa TFF ndicho kimefanyika. Nilisema watapitishwa kadhaaa mwisho mtasikia ama wamejitoa /ama waliopita nae hawana vigezo ndicho kimetokea. Nitarudi baadae. Rais mteule TFF HONGERA
  3. Rafiki yangu na Rais wangu wa TFF Karia kwa yanayoendelea Uwanja wa Songea nimekusamehe ila Kosa hili lisije likajirudia tena

    Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia. Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
  4. N

    Karia na TFF wasipowafanyia fitna Kambole na Djuma Shaban itakuwa balaa sana

    Sisi sote ni mashahidi jinsi wallace karia na TFF walivyokuwa wanawazuia kina yikpe,sarpong na wachezaji kadhaa nyota wa kigeni kufunga magoali na kusababisha wakose magoli ya wazi huku wakiwabeba wachezaji wa kiwango cha kawaida mno kama cham,kagere,luis jose waonekane wana shine. Wana...
  5. Hakuna Kiongozi bora kama Rais wa TFF Wallace Karia, hivyo apewe Minne yake tena au atawale hata Milele TFF

    Amefanya Mambo mengi mazuri hasa katika kuleta Mandeleo ya Soka Tanzania Katika Wagombea wote waliochukua Fomu Karia ni bora na anafaa kuliko wengine. Tena ikiwezekana na Katiba ikiruhusu Wallace Karia aongoze Milele tu TFF kwani kafanya makubwa. Ukiona Mtu anakubaliwa na GENTAMYCINE jua ni...
  6. Wallace Karia mwisho wake umefika

    Kwa hao wagombea hapo, ni dhahiri sasa enzi za Karia zimeisha. Nawapa nafasi Ally Mayayi na Tarimba Abbasi
  7. Karia hafai kuendelea kuongoza TFF

    Kama kuna dhambi wajumbe mtafanya ni kumrudishia tena madarakani Karia TFF nabidi ibadilike bodi inafanya kazi kimazoea Tufike wakati tuseme imetosha Tuwe na viongozi wenye hekima na busara kuwatumikia wananchi
  8. Waliomchukulia fomu ya kugombea urais wa TFF Wallace Karia wamelipwa nini?

    Kuna Taarifa kwamba Mwenyekiti wa zamani wa Simba Swedi Nkwabi aliyemkimbia MO pamoja na Mamluki Ntahilaja anayetajwa kutoka Yanga leo wameonekana kwenye ofisi za TFF kwa kile kinachodaiwa eti kumchukulia fomu "bilionea" Karia ili aendelee kutafuna hela za TFF. Swali ni hili: Wamelipwa nini...
  9. Mwakalebela aiomba msamaha na kuisifia TFF ya Karia, aiweka njia panda Yanga

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, ndugu Fredrick Mwakalebela ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka nchini kwa kipindi cha miaka mitano pamoja na kutozwa faini ya sh. milioni saba, amekiri kufanya makosa na kuiomba radhi TFF kwa yale aliyotamka hadi yakapelekea kupewa...
  10. Kocha Fred Minziro akanusha kuwa na tofauti na Karia, awashangaa wazushi

    Kocha wa timu ya Geita Gold, Fred Felix Minziro amewakanusha watu wote wanaosambaza video inayojaribu kuwashawishi washabiki waamini kwamba Rais wa TFF ana chuki naye na kwamba aliukwepa kwa makusudi mkono wake. Minziro amesema Karia ni rafiki yake mkubwa na wamekuwa wakizungumza mara kwa mara...
  11. Kumekucha: Abdalah Bulembo kuishtaki TFF ya Karia mahakamani

    Bulembo,mzee mustaafu mwenye hekima zake ameapa kupeleka shauli mahakamani kuishtaki TFF ili iondoe kipengele cha lazima uwe na elimu ya Shahada ama degree ndipo uruhusiwe kugombea Urais na u makamo wa Rais wa TFF. "...kipengere hicho kinakiuka katiba na miongozo ya wenye mpira Duniani na...
  12. Karia ameihangaikia Simba tu kwa kipindi chake chote

    Hatujui ni kwasababu gani Karia anajivunia mafanikio ya soka yaliyopatikana wakati wa kipindi cha cha miaka 4. Binafsi sioni mafanikio ya soka kwenye kipindi chake zaidi ya Karia kuhakikisha kuwa Simba inakuwa bingwa kwa kipindi chake chote na inafanya vizuri kwenye mashindano ya African...
  13. Wallace Karia akamatwe mara moja kwa kuhujumu Mechi ya Simba na Yanga , akibanwa atawataja waliomtuma

    Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana ! Anapaswa kufikishwa mahakamani kwa Tuhuma za Utapeli na Uhujumu uchumi , tunaamini huko...
  14. Karia kugombea tena urais wa TFF. Je, Karia anastahili nafasi nyingine?

    Wakati akihojiwa na Mtangazaji wa Efm Radio, Bwana Wallace Karia amesema ni wazi kwamba mwaka huu atagombea tena nafasi ya Urais wa TFF. Amesema atafanya hivyo ili atekeleze mambo aliyoongeza kwenye Ilani yake na mengine mapya aliyoanzisha. Je, KARIA ANASTAHILI NAFASI NYINGINE?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…