BODI hii imejaa wahuni sana sana sijui tunaelekea wapi. Hawa jamaa ukisoma barua zao wanasema wamehairisha kwa sababu ya uchunguzi.
Hapohapo wanasema watatangaza siku nyingine ya marudiano.
Kama mmeshaamua kurudiwa unachunguza nini? huu ni ushenzi na uhuni si mngesema tu tumehairisha kwaajili...
1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?
2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?
3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda...
Huu ndio mtazamo wangu, na ili ukweli ujulikane, iundwe kamati ya uchunguzi na kamati hiyo iundwe na CAF au FIFA na wajumbe baadhi watoke nje ya nchi na ikiwezekana wajumbe wote watoke nje ya nchi(wasiwe watanzania).
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya...
Uamuzi wa kamati ya uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) kuahirisha mchezo namba 184 kati ya Young Africans (Yanga SC) na Simba SC uliokuwa uchezwe tarehe 08 Machi 2025, haukuzingatia hasara mbalimbali zilizotokana na kuahirishwa kwa mchezo huo, ikiwemo nafasi...
Nimeiona hii video mtandaoni. Je ni kweli huyu jamaa aliyasema haya ya Simba kutokuja uwanjani kabla ya Jana au wameirekodi jana na kuifanya ionekane ya zamani?
Nimefuatilia sakata la derby ya Simba na Yanga Tanzania 08.03. 2025, itoshe kusema Bodi ya ligi mmehujumu ligi kuu ya mtanzania na mnapaswa kuwajibika, Simba na Yanga mnapaswa kuwajibika, mashabiki tumekwishawajibika.
Siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka Duniani imekuja...
Wakuu
Yanga tayari wamewasili uwanjani benjamin mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa.
Soma, Pia
Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo
Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Ahmed Ally awaomba radhi...
Ahlan bik
Football ukipenda iite Soccer ni mchezo wa kiungwana sana unaozingatia sheria , kanuni na taratibu zilizowekwa na shirikisho la mpira duniani kwa maana ya FIFA na shirikisho la mpira katika nchi husika.
Kanuni zipo wazi kabisa na uongozi wa Yanga unafahamu fika kuwa timu ambayo...
Salam wapenda "kandanda".
Kwa muda mrefu shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limekuwa dhaifu inapotokea inshu ya SIMBA & YANGA. TFF na bodi ya ligi (bodi dhaifu kabisa) wanakua tayari kuvunja kanuni na sheria walizotunga wenyewe ili kuwanufaisha SIMBA & YANGA .
Hii derby ya 08/03/2025 Simba...
1. Rais Mstaafu Kikwete
2. Makamu wa Rais Dk. Mipango
3. Waziri wa Fedha Dk. Nchemba
4. Waziri Mavunde
5. Waziri Kikwete
6. Msemaji wa Serikali Msigwa
7. Mkuu wa Mkoa DSM DC Chalamila
Laiti hawa Wachache niliowataja hapa (pamoja na wengine ndani ya Chama CCM) wasingekuwa wanaonyesha wazi wazi...
Wakuu
Bado saa kadhaa kuelekea Kariakoo Derby!
Mechi ya miamba wa soka la Tanzania (Yanga SC vs Simba SC) inakaribia, na Hans Rafael mchambuzi wa Soka ametengeneza muunganiko wa kikosi cha kwanza kwa kuzingatia form na balance kuelekea mtanange huo.
Hans Rafael - Crown FM
Naomba kuona...
Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.
Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.
Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake...
Takwimu zinaibeba Yanga, mechi za derby za mwisho alizochezeha Ahmed Arajiga
Mwamuzi Ahmed Arajiga amechezesha michezo minne ya derby kati ya Yanga na Simba, ambapo Yanga wameshinda mechi tatu na moja Simba.
Hizi ni takwimu za matokeo ya michezo aliyochezesha Arajiga:
Yanga 2-1 Simba...
Hayaa ni maono niliyoshushiwa Mimi mwehu, katika njozi na wenye mamlaka ya DUNIA kuhusu mchezo wa tarehe 8 march 2025, baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc. Nami kwa unyenyekevu mkubwa nayaleta kwenu enyi wakuu!!
Katika maono haya, wachezaji wa bwanyenye Mo dewj, wanaonekana ni wenye hofu kuu...
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Shabiki mkubwa wa timu ya Yanga SC Mhe. Tarimba Abbas kupitia mahojiano aliyofanya na ITV Digital ametoa maoni yake kuelekea kwenye Dabi ya Kariakoo kati ya timu ya Yanga SC na Simba SC.
Kwenye Mazungumzo hayo Mhe. Tarimba amewataka marefa kutenda haki na kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.