Takwimu hazidanganyi, kwa sasa Simba wapo vizuri sana. Mechi 5 walizocheza hadi hivi sasa;
~ Wamefunga magoli 11
~ Wameruhusu magoli 2
Kimataifa wamecheza za jumla ya mechi 4;
~ Wanefunga magoli 8
~ Wameruhusu goli 1
Wametinga hatua ya makundi CAF Champions League, vinara Ligi Kuu Tanzania bara.
Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match analysts', wanatarajiwa kushuka nchini siku ya Ijumaa na taarifa za ndani zinasema washapata tiketi kwa...
1. Kujiona ( Kujimwambafai ) kabla ya Mchezo kuanza kwa Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston Mayele kulichangia Kumharibu / Kumharibia Kisaikolojia kwani Kitendo kile ni kama vile kiliwapa Kengele Mabeki wa Simba SC waongeze juhudi maradufu katika Kumdhibiti hadi akashindwa Kufurukuta.
2...
Wadau wa soka Hamjambo
Nimekuwa nikimfuatilia huyu mutu wa DRC straiker MAKAMBO kuurejesha kwake ktk club ya Yanga SC, matarajio ya wananchi walifikiri atawasaidia lakini ukweli huyu jamaa ni Yikpe season 3 yaan Yanga mmepigwa na wale jamaa zenu wanao wasajilia wachezaji.
Narejesha matangazo...
Kwa miaka ya karibuni ukiwa Rais wa Tanzania na ukitaka ujihakikishie sana Kupendwa / Kukubalika na Wananchi anza Kuwapenda Vijana kisha njoo kwa Wasanii wa Muziki Kisha maliza na Wapenda Soka hasa wa Simba na Yanga.
Hata hivyo pamoja na kwamba Rais Samia alihudhuria Mechi ile ya Watani ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.