Mada zangu zina kawaida ya kuwa mbele ya muda. Ukija kibishibishi muda utakuumbua.
Kuna siku nilihoji uhalali wa kusema ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora Africa, wengi wakanibishia bila chanzo cha kuaminika cha hiyo ranking. Matokeo yake sasa hivi, kila mtu, kuanzia mashabiki, wachambuzi hadi...
Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku
Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
BAADA ya MAKELELE kwa marefa na baadhi yao kuanza kuchezesha bila penalty Wala REDcard
Sasa kuna plan "B" inakuja dhidi ya tar 8
Refa atachezZesha vizuri sana na hakuna AMBAE atatoka akimlalamkia
Kinachokuja mjiandae na WASAIDIZI WAMEJIPANGA na wamepangwa kuwaumiza
Na njia Moja wapo n...
Kuelekea mchezo wa Derby tarehe 8, kuanzia kesho nitakuwa naachia salamu mbalimbali kwa wahusika wafuatao:
Tarehe 3 nitatoa salamu kwa uongozi wa Simba
Tarehe 4 nitatoa salamu kwa benchi la ufundi na ushauri wa namna kikosi kinachopaswa kucheza kulingana na unajimu wang
Tarehe 5 nitatoa...
Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.
Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri...
Picha ya jeraha la Ibrahim Abdallah Hamad a.k.a Ibra Bacca, beki kisiki na tegemeo ndani ya kikosi cha yanga yashtua wengi ikiwa zimesalia siku takribani mbili tu kuelekea Oktoba 19 kwenye mchezo wa dabi ya Kariakoo utakao wakutanisha na Simba SC.
Bacca ali-share picha hii Instagram (insta...
siku ya jumamosi ndiye namuona kama mchezaji hatari kwa Simba SC kutokana na ubora wake ndani ya uwanja, Maxi kama yupo fiti lazima atakupa mechi bora sana kuanzia nguvu hata kasi na ufanisi kwenye maeneo mengi ndani ya uwanja yameipa uhai mkubwa sana Young Africans
Mechi tatu zilizopita za...
Nimesikitishwa na kuona mahojiano ya mchezaji wa Simba anayetamba eti ni lazima aifunge Yanga na kwamba haamgalii mabeki walio nao.
Jambo hili linasikitisha sana ukizingatia kuwa hizi ni tabia za wachezaji wa timu ndogo kutamba tamba lakini hatimae hufungwa tu.
Wakatazeni wachezaji wasiongee...
Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na shangwe!
Kwa unavyoona maandalizi nani anamchapa mwenzake leo?
Hapo vipi!
Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.
https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-sc-vs-simba-sc-semi-final-community-shield-benjamin-mkapa-stadium-08-08-2024.2243315/
Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa.
Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Mimi naamini, itakuwa siyo habari ya kushangaza yanga kuishinda Simba kwasababu tayari viongozi na benchi la ufundi linazo sababu za kupoteza mchezo wa Leo.
Lakini ikiwa hivyo kweli, napendekeza Eng. Hersi akumbukwe kwa kujengewa sanamu pale Jangwani kama kumbukumbu za kumfunga mtani mara tatu...
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa.
Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana.
Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeupangia tarehe mchezo namba 180 wa Ligi Kuu msimu wa 2023/2024 kati ya Club ya Yanga na Club ya Simba maarufu kama ‘Kariakoo Derby’, baada ya Club hizo kuondolewa kwenye michuano ya CAF Champions League.
“Mchezo huo ambao haukupangiwa tarehe kwenye ratiba...
Ilikua zikutane leo Simba U20 na Yanga U20 Ila Simba wamegoma kuingia uwanjani kutokana na Yanga kutumia wachezaji ambao hawakusajiliwa.
Nisikuchoshe kiufupi Yanga hawana mchezaji waliemsajili kutumikia u20 kwa msimu huu.
JUZI kulikuwa na mechi ya watani pale Temeke. Simba na Yanga. Hadi wakati naandika makala haya sifahamu matokeo yalikuaje, lakini nafumba macho na kuvuta picha nzito ya pambano hili tangu nikiwa kijana mdogo.
Nyakati zimekwenda wapi? Kuna mambo yamebadilika na kuna mambo hayajabadilika. Tuanze...
Mchezo huu ambao huteka hisia za mashabiki wengi wa mpira wa miguu, utakuwa na msisimko mkubwa sana.
Sababu ikiwa ni kila timu kuwa wakati wa kipekee, Yanga akiwa kabeba ubingwa bila kupoteza mechi lakini kashindwa kwenda hatua ya makundi, anasubiri kucheza na Africain ili afanikishe kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.