Hayaa ni maono niliyoshushiwa Mimi mwehu, katika njozi na wenye mamlaka ya DUNIA kuhusu mchezo wa tarehe 8 march 2025, baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc. Nami kwa unyenyekevu mkubwa nayaleta kwenu enyi wakuu!!
Katika maono haya, wachezaji wa bwanyenye Mo dewj, wanaonekana ni wenye hofu kuu...