Baadhi ya viongozi wa Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam, kwa kushirikiana na askari wa Jiji wanadaiwa kuwatesa na kuwanyanyasa Wafanyabiashara wadogo, na kuwatoza Wafanyabiashara hao faini kubwa kati ya Tshs 50,000/= hadi 300,000/= kama adhabu ya "makosa" mbalimbali...