Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki.
Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla.
Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
Mimi humu sitafuti mpenzi.
Hiyo sekta imepitwa na wakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa kujenga nasio wakubomoa.
Kwa yeyote aliyetayari mnakaribishwa ila sio nijaze pm hapana only 2 ni...
Wakuu heshima sana,
Wakati wowote kuanzia Jumatatu Mfungwa wa kifungo cha Miaka 30 Bwana Lengai Ole Sabaya anatarajiwa kupandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya wizi wa kuaminika na wenzake watatu ambao wote ni wafungwa wa kifungo cha muda mrefu (30 years)
Lengai Ole Sabaya alitengenezewa gari...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo
Naomba kuuliza, wiki iliyopita nilirudisha fomu yangu ya madai NSSF na baada ya kufanya uhakiki wao wakanambia kwamba siku flani niangalie kwenye akaunti yangu ya benki nitakuta hela imeingia.
Kwakua mpaka natoka pale na akili nayo ilikua imechoka kiasi kwamba...
Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka.
Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko...
Kwa heshima na taadhima naomba niweke mada hapa.
Recently Mzee Sirro ambaye inasemekana ni "Mseminari" MTU mwenye staha, heshima, utu, hali uzazi (mzazi), kiongozi; amekua akitoa matamshi ambayo kwa kweli hayaangukii katika hizo sifa ambazo Mimi binafsi niliwahi kushuhudiwa kuwa anazo.
Kauli...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, hukumu ya Kesi hiyo sasa ni Oktoba 01, 2021.
===
Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha namba...
Tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+
Ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+
Je, hii chanjo haisaidii?
Habari wadau!
Leo nimeota ndoto mbaya sana, nimeona watu waume kwa wake wakiwa wanalia, nimeona machozi na damu katika ndoto. Nimeona mji ukiwa umetulia tulii mara ghafla fujo ikatawala,taharuki ikaukumba mji wote.
Ndoto yenyewe:
Nimeota nimeenda kumtembelea jamaa yangu anayeishi maeneo ya...
Nauza mchele nipo Mbeya
1. Kiasi - kuanzia 1kg hadi tani utakazohitaji
2. Bei - kuanzia sample ya 1000 kwa 1kg, 1200 kwa kg, 1400 kwa kg, 1500 kwa kg na kuendelea
3. Pia mpunga na pumba laini za mpunga zinapatikana
4. Nje ya mbeya tunatuma hadi ulipo kwa gharama nafuu
Karibuni sana
Kumezuka ugonjwa mpya wa kujikuna ambao mtu anawashwa Sana na anatoa vipele vidogovidogo. Sijui ni wangapi mmeshausikia au kuupata. Mimi na familia yangu wote tunawashwa na huko Moshi pia Kuna jamaa zangu wawili na familia zao nao wameniambia Wana washwa na kujikuna sana. Plz Kama umepata Hilo...
“Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
Hii video inaonyesha jinsi Majengo ya GTC ni ya kisasa na yanavutia kweli. Halafu upeo kutoka juu la jengo ni nzuri sana. Mtu anaweza kutazama Nairobi yote bila tatizo
Dar ni jiji ninalolifananisha na Jikoni kwa Tanzania hii, nadhani wote tunajua sifa ya jiko ni mahali panapoandaliwa na kupikwa vyakula vyote tunavyovipenda na tusivyovipenda.
Dar ni mkoa ambao naupa heshima ya kupafananisha na jiko kwasababu ni mkoa ambao ni chanzo cha kila kitu.
Ukitaka ma...
Kikao kimefunguliwa rasmi, tunajadili nini kifanyike, ili adhabu za wivu wa mapenzi zipungue katika jamii zetu.
Wakati tukijadili hilo usisahau kunipa vote yako kwenye hili chapisho.
Bofya ifunguke kisha click kwenye vote: Story of Change - Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni