kariobangi sharks

F.C. Kariobangi Sharks, commonly known as Sharks or K. Sharks, is a Kenyan professional football club. They have been featured in Kenya's top league, the FKF Premier League, since the year 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa United Yapanda Ligi Huku Kariobangi Sharks Ikishushwa, Baada Ya Uamuzi wa FKF

    Klabu ya Mombasa United imepata tiketi ya kucheza Ligi Kuu ya Kenya msimu wa 2026/2027 baada ya Shirikisho la Soka Kenya (FKF) kuamua kuwapa ushindi wa mezani wa mabao 2-0 dhidi ya Kariobangi Sharks kufuatia kusimama kwa mechi ya marudiano ya mchujo wa kupanda na kushuka daraja. Uamuzi huo...
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sharks Vs Mombasa United: Penalty Yalipua Mechi, Refa Aokolewa

    Mpango wa kupata timu itakayocheza FKF Premier League msimu wa 2026/27 umeishia kwenye vurugu baada ya mechi ya marudiano kati ya Kariobangi Sharks na Mombasa United kusitishwa katika Uwanja wa Ulinzi Sports Complex. Sharks walikuwa mbele 2 - 1, matokeo yaliyofanya jumla ya mechi mbili kuwa 3 -...
Back
Top Bottom